Kikao cha NEC ya CCM yampongeza Mh. Edward Lowassa, mjini Dodoma

Kikao cha NEC ya CCM yampongeza Mh. Edward Lowassa, mjini Dodoma

Ni lini Lowasa amekuwa mchamungu? Angekuwa mchamungu angemnyonyoa nywele Mwakyembe?
Hahahahaha mkuu umesahau aliyemnyonyoa Mwakyembe ni Membe ili aaminishe watanzania kuwa maadui wa Mwakyembe (rostam) ndio alifanya wakati ni yeye Membe na Igondu ndio walimnyonyoa Mwakyembe.....hapa alifanya ile kitu kinaitwa kikulacho kiko nguoni mwako......
 
Sure Mkuu. Lowasa hafai hata kukutana naye. Sipati picha Regina analalaje na fisadi Mkuu
Bora ulale na fisadi kuliko mwanaume shoga, kambi yenu kuanzia mgombea wake amekuwa akikaga sana 0713 huko canada, waziri mkuu wake Nyalandu naye amekuwa mke wa Charles Dunken mzungu wa Marekani, Makonda naye anapigwa nyuma yaani kundi lenu lote mumekubuhu kwa kuliwa 07133333333333333333333333333333333 aka kabangggggggggggggggggggggg
 
Majungu ya kufatilia Lowassa kaenda wapi, watabaki hapo hapo huku nyota inazidi kungaa, watabaki hapo hapo wakati kura zinazidi kuongezeka, watabaki hapo hapo wakati wajumbe wanazidi kumwagika, watabaki hapo hapo wakati mzee wa kusema na kutenda anazidi kuchanja mbuga, watabaki hapo hapo wakati record za nyuma zinambeba jamaa, watabaki hapo hapo wakati maono ya lowassa katika elimu, kilimo, ajira kwa vijana, na kusaidia wakina mama ikizidi kusisimua wananchi, watabaki hapo hapo wakati ukweli wa richmond unazidi kujilikana kuwa ni majungu ya Membe, Sita na MwAKYEMBE, watabaki hapo hapo huku wananchi wanataka rais ajaye awe mtendaji na mtu wa maamuzi

Kura za maruhani na mafisidi nchi. Kwanza hapitishwi labda mumpigie kura za bss kama anajua kuimba. Mumshauri huyo lowassa mnayemuunga mkono na kumpigania kwenda ikulu. Ubunge anaupoteza na ikulu atakusikia tu. Ajabu sana nchi hii kuwa mtu mchafu anatumia watu wampigie debe kuwa anafaa n mwadilifu.
 
Hongera LOWASSA hongera UVCCM, hongera CCM. Lowassa ni SUMU ya wachonga mdomo bila utendaji na ndio maana wachonga mdomo hawampendi !... NCHI YETU IMEANZA KUJUA UKWELI WA HILA ZA BAADHI YA WANASIASA AMBAO WANATUMIA GHARAMA KUBWA ZA NCHI KUWEZESHA UONGO KUWA UKWELI NA HATIMAYE KUINGIZA NCHI KATIKA MATATIZO MAKUBWA YA KIUCHUMI

REPORT YA MWAKYEMBE ILISEMA MITAMBO HAIWASHI HATA KIBATARI, HILAL CLINTONY, BUSH NA HATIMAYE OBAMA ANAKUJA KUZINDUA MITAMBO HIYO NA KUHAKIKISHA UMEME VIJIJINI (NCHI NZIMA)

IPO SIKU TUTACHAPANA VIBOKO HAPA NA VIZAZI VYAO VYOTE
 
Kura za maruhani na mafisidi nchi. Kwanza hapitishwi labda mumpigie kura za bss kama anajua kuimba. Mumshauri huyo lowassa mnayemuunga mkono na kumpigania kwenda ikulu. Ubunge anaupoteza na ikulu atakusikia tu. Ajabu sana nchi hii kuwa mtu mchafu anatumia watu wampigie debe kuwa anafaa n mwadilifu.

Mkuu tukianza na suala la usafi mama yako mwenyewe siyo msafi
 
LOWASSA ni jembe kwa wazembe mwiba wa mahafidhina ....... Bila Lowassa Vision 2025 itadunda
 
Mkuu kipindi kile elimu yake ilikuwa ndogo ndio mana, ndio alikuwa kamaliza certihttp://masanjamkandamizaji.com/tofauti-kati-ya-wasichana-wa-udsm-na-wasichana-wa-udom-mwandishi-nndekindo/ficate pale Ustawi wa Jamii so uwezo wake wa kufanya inverstment analysis ulikuwa mdogo sana......ila uko sahihi saizi inamuuma sana aisee, manake UVCCM kwa sasa wanakula percent fulani, na baada ya miaka kadhaa wanakuwa wamiliki wa jengo asimilia 100....hizi ndio akili za investment partership

Nasikia baada ya miaka 99.
Vp kuhusu apartments zilizouzwa nazo zitarudishwa kwa asilimia 100?
 
Hilo jengo Lipo/litakuwa wapi hapa Tanzania??

Anyway waache waendelee kujenga, hivi vitakuwa vitegauchumi vya TAIFA hapo mwaka 2016 baada ya ccm kufurushwa madarakani.

BACK TANGANYIKA



Unaishi wapi wewe?

yaani kwa fikra zako mufilisi unadhani hao matapeli wa Rombo wanaweza kamata dola ya nchi hii??

mnajifurahisha.......
 
Kikao Cha Jana Cha NEC{halmashauri Kuu Ya CCM -Taifa} Pamoja Na Mambo Mengine Kilitoa Pongezi Maalum Kwa Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Ngoyai Lowassa Kwa Kubuni Na Kusimamia Ujenzi Wa Jengo kubwa La Kitega Uchumi kwa ajili ya Umoja Wa Vijana{UVCCM}

Kumbe huyu kwako ni mstaafu??
 
jembe gani sasa la mkono au la kukokotwa na wanyama?[/QUOTE

"Philosophy" ukiwa unasoma Logic (mantiki) au "epistemology" twafundisha Sources of Errors. Moja wapo ya vyanzo vya makosa ni PARTISANSHIP (ushabiki) ushabiki umewazidi wafuasi wa lowassa kiasi cha kuona bila lowassa Tanzania haipo. Wanaona HAJAJIUZURU bali ni MSTAAFU. wanamuona si FISADI bali mtu Safi. Wanamuona JEMBE bila kujali la mkono au maksai au trekta. Time whizzes by,time will tell.
Mkuu epistemology sio sources of error hawa ndio wanafunzi wetu wa falsafa.....katika falsafa ukichanganya neno moja tu unaweza kuaribu the whole meaning..... epistemology is about how we come to have knowledge[FONT=Arial, sans-serif] haimanishi hiyo knowledge lazima iwe error.....usirudie tena kudanganya watu humu[/FONT]
 
Naona mmekutana pancha na kiraka?nani anamsiriba mwenzake sasa?
Hahahahahaha katika maandiko matakatifu unaambiwa kipofu awezi kuongoza kipofu mwenzake, sasa hawa wamekutana pancha na kiraka ngoja waendelee hivyo hivyo
 
LOWASSA ni jembe kwa wazembe mwiba wa mahafidhina ....... Bila Lowassa Vision 2025 itadunda
Waeleze hao vibaraka wa joka la mdimu kiongozi ambaye atakuwa dhaifu sana sana kutokwa katika nchi hii ni Membe...Bora na mara mia tumpe Joseph Kusaga wa clouds kuliko Membe hii nchi
 
Me ninaishi tz na lowassa sio mstaafu wa Urais Bali ni mstaafu wa waziri Mkuu kwa hiyo sasa Hivi ataingia ikulu 2015 baada ya jk ni najua unajua Hilo sema tu unataka kupata uhahika so take this from me that it should be na wewe uliyesema tuna pancha najua ujielewi kwa hiyo sio kosa lako kwa hiyo Acha tu nikusamehe kwani ujui utendalo
 
Back
Top Bottom