Asante
JF-Expert Member
- Dec 18, 2009
- 2,085
- 1,082
ila baada ya miaka kadhaa jengo sii litakuwa mali ya Uvccm......ujui unachokiongea nyamaza kimya
Kama apartment zinauzwa litakuwaje la ccm?
ila baada ya miaka kadhaa jengo sii litakuwa mali ya Uvccm......ujui unachokiongea nyamaza kimya
Hongera LOWASSA hongera UVCCM, hongera CCM. Lowassa ni SUMU ya wachonga mdomo bila utendaji na ndio maana wachonga mdomo hawampendi !... NCHI YETU IMEANZA KUJUA UKWELI WA HILA ZA BAADHI YA WANASIASA AMBAO WANATUMIA GHARAMA KUBWA ZA NCHI KUWEZESHA UONGO KUWA UKWELI NA HATIMAYE KUINGIZA NCHI KATIKA MATATIZO MAKUBWA YA KIUCHUMI
REPORT YA MWAKYEMBE ILISEMA MITAMBO HAIWASHI HATA KIBATARI, HILAL CLINTONY, BUSH NA HATIMAYE OBAMA ANAKUJA KUZINDUA MITAMBO HIYO NA KUHAKIKISHA UMEME VIJIJINI (NCHI NZIMA)
IPO SIKU TUTACHAPANA VIBOKO HAPA NA VIZAZI VYAO VYOTE
lakini hiyo asilimia 25 ni hela refu ambayo wasingeweza binafsi kuwekeza. hiyo matokeo ya uamuzi ngumu ya laigwenan.Hilo jengo mpaka sasa hivi si mali ya CCM pekee... Kuna mtu anakula hela hapo nzuri na CCM wanakula asilimia chache sana ambazo ni 25% wakati uyo jamaa anamiliki asilimia 75% na ndio muuzaji wa apartment na mpangishaji Mkuu.
kurudi nyuma ukiwa vitani si kushindwa vita bali ni kupata situation report ktk medani ya vita, ili kujipanga upya kwa nguvu maradufu ikiwezekana mara tatu zaidi ya nguvu za adui ili mpate ushindi! Mao tse tung alisema dare to strugle and dare to win! Hawa watu hawajawa na mlengo mmoja hata siku moja bali wanaviziana wapi na lini na nani achukue kipondo cha kumkoma nyani gladi! Wengine mbwa akila mwanae hayatuhusu! Tunaendelea tripple P...P...Pewer...Nape aliuponda sana huu mradi.atakuwa anaona aibu sana aisee!
Du ila vijana wenzangu sijui nyie ni watu mnaofikiri kwa kutumia nini, mkuu hakuna kitu kibaya hata katika familia kama ukiwa unasikia stori za vijiweni na kuamini, moja wao ni wewe.......aliyekwambia jengo linauzwa ni nani.......learn kusikia kitu then unafanya japo ka utafiti kadogo, ili mwisho wa siku ubongo wako uonekane uko activeKama apartment zinauzwa litakuwaje la ccm?
Kikao Cha Jana Cha NEC{halmashauri Kuu Ya CCM -Taifa} Pamoja Na Mambo Mengine Kilitoa Pongezi Maalum Kwa Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Ngoyai Lowassa Kwa Kubuni Na Kusimamia Ujenzi Wa Jengo kubwa La Kitega Uchumi kwa ajili ya Umoja Wa Vijana{UVCCM}
Hilo jengo mpaka sasa hivi si mali ya CCM pekee... Kuna mtu anakula hela hapo nzuri na CCM wanakula asilimia chache sana ambazo ni 25% wakati uyo jamaa anamiliki asilimia 75% na ndio muuzaji wa apartment na mpangishaji Mkuu.
Lowassa watanzania wengi sana wanamuhitaji aje kuendeleza pale alipoishia Dr. Kikwete. Na yeye afanye mazuri zaidi kwa maslahi ya watanzania wote bila ubaguzi wowoteJk anajua na ataendelea kumsupport mhe. Edward ngoyai lowassa si kwasababu ya urafiki ni kwasababu kubwa ya utendaji wake wa kazi,
naamini jk hawezi kuacha taifa hili katika mikono ya viroboto wachache wenye utaalamu mkubwa wa kufanya uongo ukawa ukweli na nchi ikaamini na kuzizima harufu ya damu. Mungu atawalipa machungu zaizi ile ile ya vilio vya kina ulimboka na waalimu.
Vijana wasasa tunawatazama lakini tunamjua mkombozi wakweli wa nchi hii baada ya jk ni mhe. Edward ngoyai lowassa.
Ukitaka meza kama machungu ndio dawa nitakumezesha kwa nguvu ili upone mteguko wako wa akili
Mkuu tutakupa kipindi umpe shule huyu jamaa, haelewi kabisa maswala ya ubia katika mradi wowote ule, kwa kweli watanzania tuna kazi ya kufanya ya ziada kwa vizazi vyetu......shukrani kwa kumsaidia ushauriClueless,kajielimishe kwanza kuhusu biashara na masuala ya uwekezaji wewe
Kikao Cha Jana Cha NEC{halmashauri Kuu Ya CCM -Taifa} Pamoja Na Mambo Mengine Kilitoa Pongezi Maalum Kwa Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Ngoyai Lowassa Kwa Kubuni Na Kusimamia Ujenzi Wa Jengo kubwa La Kitega Uchumi kwa ajili ya Umoja Wa Vijana{UVCCM}
Hivi Chabruma amepotelea wapi na kampeni zake za kijasusi dhidi ya EL au keshasoma upepo kaamua kubadili mwajiri maana hizo ndo tabia za lumumba
Hivi Chabruma amepotelea wapi na kampeni zake za kijasusi dhidi ya EL au keshasoma upepo kaamua kubadili mwajiri maana hizo ndo tabia za lumumba
Wanajua walimfanyia umafia hivyo atalipiza kisasi wangejua mzee wa watu ni mcha Mungu sana hata hana habari sio kama yule anayesema ana (maadui 21 wamefika sasa)... Pili ndani ya ccm watu wengi ni wavivu sana wa kufanya kazi issues kubwa ni kupiga majungu kwaiyo wanajua jamaa akiingia itakuwa kuchapa kazi kwa kwenda mbele alishawai kusema wenzetu wakiwa wanatembea sisi tupae ili tuweze kupata maendeleo kwa mustakabal wa Taifa.......Tatu wanajua ulaji wao utakata kwani ni mtu asiyependa upuuzi upuuzi kama una kosa lazima uwajibike na uwajibishwe (rejea alivyowafanyia wakurugenzi, wakuu wa wilaya, na waqkandarasi wabovu wabovu)....Nnne kuna wanaoona donge kuwa uchapakazi wake utawafunika au utafunika uchapakazi wa waume zao......tano uthubutu, utendaji uliokuwa bora, uchapakazi, kuwa mtu wa kusema na kutenda wengine wanaona dongo,...... Sita rekodi yake katika utendaji ulikwaza watu na bado unakwaza watu, kumbuka utendaji wake ulivyokuwa bora katika elimu, shule za kata, ujenzi wa UDOM, kuvunja mkataba mbovu wa city water, kuwafukuza wahindi mnazi moja, kuwafukuza wahindi eneo lililopo PPF saizi, kupeleka maji shinyanga kutoka ziwa victoria, kupigana na wamisri kuhusu maji ya ziwa victoria nk.....Saba, Maono aliyonayo katika kuleta elimu bora, ajira kwa vijana, kilimo bora kwa kuwapa wakulima elimu ya kutosha, kupeleka maji ya ziwa victoria mpaka Dodoma via Singida, Kuweka 24 hours economy kwa Dar es Salaam, kuzidisha ulinzi kwa kuweka CCTV camera kwa Dar, Mwanza, Arusha na ,Mbeya, kuwapa wakina mama mikopo bila riba.....Nane sababu ya jamaaa kuchukiwa na wachache ndani ya ccm ni chuki ikiongozwa na Membe, Sita, Mwakyembe, Nape, na Firts Lady
Umemaliza mkuu. Leo nimejadili mda mefu sana na watu flani. Kwa kweli ukiangalia tulipofikishwa hapa na udhaifu, uhuni,uzembe,kutokuwajibika,ulegelege na umission town uliokithiri wa awamu iliyopita tunahitaji mtu kama Lowasa. Mtu ambaye ameweza endesha private business company na kumfanya moja ya watu matajiri nchini. Tumeona athari za kumpatia mtu ambaye hajawahi kuwa na sifa hata ya kuendesha genge la nyanya.
Dunia sasa hivi inakua more corporate, hakuna kiongozi CCM anayeweza mkaribia Lowassa kwa uwezo wa kuongoza. Huyu Mungu kama bado anaipenda Tanzania basi atafanikisha uchaguzi wa huyu mtu angalau na sisi tuwe na jeuri ya kujivunia kuongozwa na kichwa kama ilivyo kwa Kenya na Rwanda.
Mkuu comment zingine angalia unaweza fikiri unafuraisha watu kumbe ujui yanayoweza kukutokea, nakushauri kwenye utani uwe unatumia M ndogo na sio M kubwa......... kwa maana nyingine mungu (god) ndio uweke hayo maneno yako ya kingese mgese sijui kinyesi chooni nk......yakikupata sisi hatutakuwepo u will be alone myfriendMungu atakaemchagua Lowasa Lazima atakua anakula na kwenda chooni...ama atakua anakunya kinyesi kigumu au kuharisha