Kikao cha NEC ya CCM yampongeza Mh. Edward Lowassa, mjini Dodoma

Kikao cha NEC ya CCM yampongeza Mh. Edward Lowassa, mjini Dodoma

kilombero yetu

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Posts
1,004
Reaction score
117
Kikao Cha Jana Cha NEC{halmashauri Kuu Ya CCM -Taifa} Pamoja Na Mambo Mengine Kilitoa Pongezi Maalum Kwa Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Ngoyai Lowassa Kwa Kubuni Na Kusimamia Ujenzi Wa Jengo kubwa La Kitega Uchumi kwa ajili ya Umoja Wa Vijana{UVCCM}
 

Attachments

  • edo.png
    edo.png
    22.3 KB · Views: 5,009
  • edo1.png
    edo1.png
    41.1 KB · Views: 4,678
  • edo2.jpg
    edo2.jpg
    8.3 KB · Views: 4,214
  • edo3.jpg
    edo3.jpg
    7.5 KB · Views: 3,368
Hilo jengo mpaka sasa hivi si mali ya CCM pekee... Kuna mtu anakula hela hapo nzuri na CCM wanakula asilimia chache sana ambazo ni 25% wakati uyo jamaa anamiliki asilimia 75% na ndio muuzaji wa apartment na mpangishaji Mkuu.
 
Hilo jengo mpaka sasa hivi si mali ya CCM pekee... Kuna mtu anakula hela hapo nzuri na CCM wanakula asilimia chache sana ambazo ni 25% wakati uyo jamaa anamiliki asilimia 75% na ndio muuzaji wa apartment na mpangishaji Mkuu.
ila baada ya miaka kadhaa jengo sii litakuwa mali ya Uvccm......ujui unachokiongea nyamaza kimya
 
hela zetu maana si kodi yetu,Richmond na epa yote ndani.
 
NAPE atake asitake LOWASA jembe
Hahahahaha Edo alipokuwa anasifiwa jamaa alitoka nje toilet, kumbe hakuna lolote roho na chuki ndio zinamsumbua......Watu walisema ooooh mkulu ana mgombea wake ambaye ni Membe oooh mara sijui nini, ila la msingi ambacho inatakiwa wajue ni ile kauli ya mbowe kuwa mkulu sio mtu wa kuweka nae dili hata kidogo
 
Nape aliuponda sana huu mradi.atakuwa anaona aibu sana aisee!
Mkuu kipindi kile elimu yake ilikuwa ndogo ndio mana, ndio alikuwa kamaliza certificate pale Ustawi wa Jamii so uwezo wake wa kufanya inverstment analysis ulikuwa mdogo sana......ila uko sahihi saizi inamuuma sana aisee, manake UVCCM kwa sasa wanakula percent fulani, na baada ya miaka kadhaa wanakuwa wamiliki wa jengo asimilia 100....hizi ndio akili za investment partership
 
Wakina Chabruma wameishia kuwekeza kwenye majungu
Majungu ya kufatilia Lowassa kaenda wapi, watabaki hapo hapo huku nyota inazidi kungaa, watabaki hapo hapo wakati kura zinazidi kuongezeka, watabaki hapo hapo wakati wajumbe wanazidi kumwagika, watabaki hapo hapo wakati mzee wa kusema na kutenda anazidi kuchanja mbuga, watabaki hapo hapo wakati record za nyuma zinambeba jamaa, watabaki hapo hapo wakati maono ya lowassa katika elimu, kilimo, ajira kwa vijana, na kusaidia wakina mama ikizidi kusisimua wananchi, watabaki hapo hapo wakati ukweli wa richmond unazidi kujilikana kuwa ni majungu ya Membe, Sita na MwAKYEMBE, watabaki hapo hapo huku wananchi wanataka rais ajaye awe mtendaji na mtu wa maamuzi
 
Back
Top Bottom