baharia Ar
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 837
- 316
Maccm bwana!
Mkumbuke nyerere alikuwa hamtaki rowasa ni mwizi
hela zetu maana si kodi yetu,Richmond na epa yote ndani.
Kikao Cha Jana Cha NEC{halmashauri Kuu Ya CCM -Taifa} Pamoja Na Mambo Mengine Kilitoa Pongezi Maalum Kwa Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Ngoyai Lowassa Kwa Kubuni Na Kusimamia Ujenzi Wa Jengo kubwa La Kitega Uchumi kwa ajili ya Umoja Wa Vijana{UVCCM}
Jamani Chabruma uko wapiiii