Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Mbowe anakanusha ukweli. Na hizi ni Photoshop?

1438053205117.jpg 1438053244712.jpg
 
Mpaka sasa Chadema haijabadili chochote kwa Lowassa, yeye ndio anawabadili.

Chadema badala ya kuleta mabadiliko, yenyewe ndio inabadilishwa...

Kweli upepo unavuma, mkuu lini uliwakubali chadema kwamba wanaleta mabadiriko?
 
Freman mbowe ndiye mwkt wa chama cha siasa nchini mwenye elimu ndogo zaidi lakini amefanikiwa kuviuza vyama vitatu kwa mpigo chadema nccr-mageuzi na cuf kwa bei ya jumla kwa lowasa

ongera sana mbowe kwa kazi mzuri
 
Hapo ndipo utakapojuwa jinsi gani wanasiasa wanachezea akili za wananchi. Wanatufanya mazuzu tunaoweza kulishwa chochote kutoka kwao. Mbowe ametufanya sisi Wananchi ni wajinga sana wa kutokujua nini feki na nini si feki. Kifupi ametudharau.

Mtu mzima ukishajua mtu mwenye akili timamu anakudharau na kukufanya wewe zuzu haupigi naye kelele, muache aamini kuwa uongo wake umeaminiwa unakuja kumuonyesha siku ys siku kuwa wewe si wakudharauliwa kiasi hiki.

Acha kutunenea wananchi wenzako uongo. Wewe ndio unaeona Mbowe kakufanya zuzu ila si watu wote. Acha siasa za uchonganishi. Najua unaumia kwa uamuzi wake ila huna namna zaidi ya kutapatapa.
 
CCM kifoooo, CCM marehemuuuu...

Yaani UKAWA + Lowassa, ni moto wa nuclear bomb....

CCM kwaheriii ya kuonana... ulitutesa sanaaaaaaaa, CCM umetutia umaskiniiiiiiiiiiiiiiiiii, mtaji wa CCM ulikuwa ujinga, sasa ndio mwisho wenuuuuuu...

Mungu asante kusimama na Lowassa, umempa nguvu na akili, na kuikataa CCM, na kuwafungua UKAWA akili, na kumpokea Lowassa, hii akili si ya kibinadamu tu, ni mpango wako Mungu...hakika wewe ni Mungu...na uitwe Mungu tuuuuu....!!!
 
acha kuweweseka mjinga wewe kwani mnasoma shule gani? kwa CCM imekuwa Mungu au baba na mama mtu huwezi kuhama kmkuna ujinga?
 
Mleta mada ni panyabuku namuona yuko shimoni anachungulia kwa hofu mitaa yote ya ugambani hofu imetanda maskini.
 
Back
Top Bottom