Kikao cha familia.......baba akirudi bar..lol...

Wlevi wengi wana busara kuliko masober kaka... bet with me.
Halafu karibu walevi wote, ukiondoa wale wanaopigana wakiishalewa, wana tabia ya honesty... yaani ni wakweli hata kama ukweli huo ni wa kuumiza kiasi gani.
I love your uncle!

Tena unajitahidi kujenga hoja zisizokuwa na unafiki wowote...mtiririko wa busara na huwezi kumdharau mlie naye kwenye meza ya mzunguko!! sometimes pombe zinaonyesha sura zetu halisi
 
Mnaujua ule mwimbo wa "baaba baaba baabaa baba huyo baba baba huyo baba baba huyo baba" hasa hasa unatumika kwenye harusi. Sasa pata picha mjomba wangu akilewa ni aibu annaimba matusi , penye neno "baba" anaimba "boro" akimaanisha uume.
 
hebu usinichekeshe kabisaaaaa maana nina uzoefu kwakweli
na haya mambo ,are you fine/
mwanawane nasubiria kwenda labour na limgomo hilila madaktari aghrrrr
natamani kungekuwa na mkunga wa jadi kieleweke tu maana


Ila kweli sometimes ukilewa halafu ukasikiliza na nyimbo flani unakuta unapata feelings za ajabu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom