msemakweli 1
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 290
- 68
Nipo nawe,maneno yake ya kukurupuka yamemtokea puani; mfano, 'wapigwe tu' na 'fedha za ESCROW siyo za serikali' leo ameumbuka.Pinda ni mjinga,sio mwerevu. Watu wanafikiri uongozi ni kuwa mpole. Cheo ni dhamana.
Alishindwa kuwasimamiha kazi wahusika wa escrow mpaka baada ya uchunguzi labda ningemwelewa. Bali, alikuwa wa kwanza kusema hela sio za Umma. Ndio uraisi utaweza wwe? Suala hilo lililuwa dogo kujipima na uwezo w kuongoza nchi.
Pinda alitawala Tanzania tutaavaa magunia.