Kikao cha CCM mchana huu Dodoma!

Kikao cha CCM mchana huu Dodoma!

Kama Yerickonyerere huwa ni muongo vipi kuhusu Ndugai yupo wapi kwani huyuhuyu alileta habari before na baadae ndicho kilichotokea.
Yerico ni moto mkali, amerudisha Jf kwenye hadhi, nulimkubali aliposema doc zimeibiwa nikabisha, baadae itv ikatangaza, big up mkuu
 
Mangungu anaongea pumba tupu
Tangu lini hadidu za rejea zinaelekeza mapendekezo ya PAC?
 
Tunaomba ushahidi. Hizi tetesi zako mara nyingi ni uzushi tu.

hata penye ukweli kila kitu kielelezo Mungu anaaiangaza Tanzania na lina kuja pigo kubwa tukianyamazia haya.
utakalia kubeba pesa kwenye wareti wenzio wanabebea kwenye rambo na box . hatma yake ww unalia uchumi upo chini mwenzio kwa nn asikwambie uchumi umekua.
 
Hebu wawajibike haraka wasije wakatuchezea. Hali ni mbaya sana mahospitalini halafu mambo ndo hivi. Inaudhi sana
 
Hii kitu hii,duh kila nikiwaza escrow,nikiwa nimelala escrow,nikiwa natembea escrow,nikiingia mitandaoni escrow yaani kila kitu escrow.Inabidi Muhongo,Werema na wengine woote wanaohusika wafilisiwe,wajiuzuru na wapelekwe mahakamani,lakini kwa Pinda sijui kama atajiuzuru na yote hiyo ni kwa sababu ya Urais ingelikuwa sio Urais angejiuzuru lakini saiz mmmhh!
 
Awamu ijayo baada ya kuanguka serikali hii, please Mungu jalia na Nyalandu asirudi, aende akatumike huko alikowekeza rasilimali zetu.
 
Kikao cha CCM kimeitishwa mchana huu baada ya mapumziko ya bunge.

Tayari makamu wa rais ameshafika na viongozi waambata wote wa CCM, kinafanyika ukumbi wa White House.

Jambo la kuhashiria kuwa huenda jioni kukawa na breaking news ni kuwa tayari gari binafsi ya waziri mkuu yenye namba za usajiri T 164 AKF aina ya range rover imeshawasili eneo hili sambamba na familia yake.

Habari zilizozagaa toka kwa wabunge hapa ni kuwa jaribio la jana la kuwatuliza wabunge wa CCM limekwama kulingana na michango ya wabunge asubuhi, Sasa wamepanga binu mbili, moja ni kushinikiza bunge liiagize serikali ifanye uchunguzi kupitia ripoti ya CAG, PCCB na mapendekezo ya PAC na kisha bunge lijalo mwakani Feb 2015 serikali ije na majibu.

Na mbinu ya pili ni kukubali yaishe watu wawajibike leo leo.
Kama gari binafsi imefika pamoja na familia yake si ina maana wamekuja kumlaki mtoto wa mkulima na kumrudisha Inyonga
 
Pinda ni mjinga,sio mwerevu. Watu wanafikiri uongozi ni kuwa mpole. Cheo ni dhamana.
Alishindwa kuwasimamiha kazi wahusika wa escrow mpaka baada ya uchunguzi labda ningemwelewa. Bali, alikuwa wa kwanza kusema hela sio za Umma. Ndio uraisi utaweza wwe? Suala hilo lililuwa dogo kujipima na uwezo w kuongoza nchi.
Pinda alitawala Tanzania tutaavaa magunia.
 
Kikao cha CCM kimeitishwa mchana huu baada ya mapumziko ya bunge.

Tayari makamu wa rais ameshafika na viongozi waambata wote wa CCM, kinafanyika ukumbi wa White House.

Jambo la kuhashiria kuwa huenda jioni kukawa na breaking news ni kuwa tayari gari binafsi ya waziri mkuu yenye namba za usajiri T 164 AKF aina ya range rover imeshawasili eneo hili sambamba na familia yake.

Habari zilizozagaa toka kwa wabunge hapa ni kuwa jaribio la jana la kuwatuliza wabunge wa CCM limekwama kulingana na michango ya wabunge asubuhi, Sasa wamepanga binu mbili, moja ni kushinikiza bunge liiagize serikali ifanye uchunguzi kupitia ripoti ya CAG, PCCB na mapendekezo ya PAC na kisha bunge lijalo mwakani Feb 2015 serikali ije na majibu.

Na mbinu ya pili ni kukubali yaishe watu wawajibike leo leo.
Big up Yericko Nyerere nimekukubali.
 
Back
Top Bottom