Kikao cha CCM mchana huu Dodoma!

Kikao cha CCM mchana huu Dodoma!

Tunaomba ushahidi. Hizi tetesi zako mara nyingi ni uzushi tu.

Kwani nin lini ulishawahi sadiki wewe tomaso manake hata escrow mlisema ni uzushi sasa ngoja muone uzushi unavyofanya kazi nyie jua kali.
 
Katika watu ambao nawakubali kwa utunzi Yeriko namkubali. Nadhani anamkaribia aliyekua Waziri wa Propaganda wa Ujerumani enzi ya Hitler, au Mzee yahaya


Umeona mtunzi wengine wanavyojua kupatia!

Mkuu Yericko Nyerere na leo uje na utunzi wa hili linaloitwa kushauriana eti UKAWA NA CCM ! .
Ni aibu iliyoje?
Wabunge wanajadiliana namna ya kuwajibisha Wazembe nyuma pazia-Nawajulisha kuwa huku nje /wananchi msipowafukuza .PM,Waziri na Naibu wake, Waziri wa Ardhi, AG na Katibu Mkuu wizra ya Nishati= Mmekula Rushwa full stop .Bilioni 321 ni pesa nyingi.
 
Last edited by a moderator:
Hapo ni kuwajibika tu. Kuhusu Pinda sina evidence kumshinikiza zaidi ya kusimama kidete na kutetea jambo ambalo halijui undani wake.

Kwa hilo kaonyesha udhaifu wa hali ya juu. Hawezi hata uraisi..

Kama Pinda hakuwa anafahamu basi pia nafasi ya uwaziri mkuu haimtoshi.. analipwa kodi zetu kwa lipi analosimamia?
 
Wafanye kikao waje na mapendekezo ya watu kuachia ngazi leo leo,Hatutaki kupotezewa muda kama jana.
Mamillioni wa Watanzania tumekaa macho hadi saa tano husiku kusikia maamuzi magumu,wao wanakuja na mambo ya Uchunguzi,Hatutaki uawala wa kisultani Wezi wawajibike na wazembe wawajibike.Kinyume cha hapo Singasinga atakuwa kawati Mfukoni.
 
Hapo ni kuwajibika tu. Kuhusu Pinda sina evidence kumshinikiza zaidi ya kusimama kidete na kutetea jambo ambalo halijui undani wake.

Kwa hilo kaonyesha udhaifu wa hali ya juu. Hawezi hata uraisi..

Nchi inaweza kumshinda akasema liwalo NA liwe anaondoka zake
 
Hawa kenge wa Lumumba leo wamejazana humu wanaharisha tu, ngoja mtaona tutakachowafanya
 
Back
Top Bottom