Kikao cha bunge leo wabunge ni wachache mno

Tuache dharau mbona hata sita alitoa heshima kwa maiko jakson bungeni.
 
There is no proof of heaven, so do hell!.

Kwa mujibu wa Jehover Witness, Heaven and hell ni hapa hapa duniani!. Kanumba aliishi kwenye paradiso ya dunia hii sasa amehamia kwenye paradiso ya milele!.

Acha kuchanganya watu na maneno ambayo wewe mwenyewe haelewi habari zake. Paradiso ya milele ndio nini?
Unaweza kutuwekea ushahidi hapa kuonyesha kwamba huyu Marehemu alikuwa analipa kodi zote inavyostahili kutoka kwenye mapato yake?
 
Wanasiasa watu wa ajabu sana. Kanumba katoa mchango wake kwa taifa na sina shida kama bunge limeona ni inafaa kumkumbuka. Ila nilitaka kujua kwa nini bunge halikusimama kumkumbuka Rt IGP Mahundi aliyekufa hivi karibuni? Ki-utawala nani ametoa mchango mkubwa kati ya Mahundi na Kanumba?

Hiyo ni kumbukumbu ya kisiasa. Spika anajitafutia umaarufu kuwa na yeye anaubinadamu. Huyu IGP mstaafu alishaanza kusahaulika na wapigakura hivyo hawezi kuwapa umaarufu.
 
Nchi hii bana full vituko......
Hakuna ubaya wa hilo lakini hii inaonyesha nchi hii inaendeshwa na matukio aka fuata upepo
Hivi wanakufa watu muhimu na wazito wangapi
Binafsi sitaki kuamini Kanumba ni zaidi ya IGP mstaafu

ebana kweli wangu,haiingii akilini yale ni mazingira ya kampeni ktk chaguzi zijazo,bunge lionekane la wanachi.
 
Ameitangaza kivipi? naomba unikumbushe kazi yoyote ya kanumba ambayo ilikuwa imebeba ujumbe wa kitaifa kwa manufaa ya Taifa hili? Acheni kuongozwa na emotions kupita kipimo?
Mkuu sangarara kwani wewe hujui kalitangaza vipi taifa letu?
Karitangaza taifa jinsi tunavyopenda kupiga "miti"na kula chips kuku na pombe huku tuki-drive ma prado na ma vx.Just remember huko vijijini watu wengine hawajawahi ata kuiona prado.
 
Wanasiasa watu wa ajabu sana. Kanumba katoa mchango wake kwa taifa na sina shida kama bunge limeona ni inafaa kumkumbuka. Ila nilitaka kujua kwa nini bunge halikusimama kumkumbuka Rt IGP Mahundi aliyekufa hivi karibuni? Ki-utawala nani ametoa mchango mkubwa kati ya Mahundi na Kanumba?

usisafirie nyota ya mwenzio, kanumba ndie aliye onwa
 
Ndo wimbo wa taifa umeisha naona kiapo kinahasa
Wewe mode na wewe?. Napendekeza sometimes muwe reasonable mtumie japo a little common sense na logic kuunganisha threads. Sasa kama umeifunika ile thread yangu na hii, sasa hapa kuna substance gani ya watu kuchangia?.

Silazimishi thread yangu lazima ibaki ila its non sense kuuunganisha thread mbili tofauti zenye difrent subject matters!.

hii thread inazungumzia uchache wa wabunge kikao cha leo, mimi nimezungumzia highest honours za bunge kwa Kanumba, which is which?.

What is the common denominator ya kuziunga hizi mada, unless kwa vile zote ni za bungeni, then tuwe na mada moja tuu ya "bungeni leo" halafu kila kinachotokea bungeni kiingizwe kwenye "bungeni leo"
 
Acha kuchanganya watu na maneno ambayo wewe mwenyewe haelewi habari zake. Paradiso ya milele ndio nini?
Unaweza kutuwekea ushahidi hapa kuonyesha kwamba huyu Marehemu alikuwa analipa kodi zote inavyostahili kutoka kwenye mapato yake?
S'ngarara, paradiso ya dunia ni kuishi maisha mazuri na kula raha duniani hapa. Kama wewe raha yako ni kuishi kwenye nyumba nzuri, kuvuta pesa ndefu, kuendesha gari zuri, kula vizuri, kuvaa vizuri, kunywa kwa sana na starehe za kila aina ikiwemo ile starehe kuu!, then hiyo ndio paradiso ya dunia, ukifa sasa ndio unaende kwenye paradiso ya milele ambayo reference ya raha za huko haijawa reported!.
 
ebana kweli wangu,haiingii akilini yale ni mazingira ya kampeni ktk chaguzi zijazo,bunge lionekane la wanachi.
Hivi.......lile bunge lililokataa kujadili mgomo wa madaktari uliopelekea vifo vingi nchini kote ndilo hili lililosimama leo for(a minute silence)au???
 
S'ngarara, paradiso ya dunia ni kuishi maisha mazuri na kula raha duniani hapa. Kama wewe raha yako ni kuishi kwenye nyumba nzuri, kuvuta pesa ndefu, kuendesha gari zuri, kula vizuri, kuvaa vizuri, kunywa kwa sana na starehe za kila aina ikiwemo ile starehe kuu!, then hiyo ndio paradiso ya dunia, ukifa sasa ndio unaende kwenye paradiso ya milele ambayo reference ya raha za huko haijawa reported!.
Pasco soma vizuri Biblia yako hasa kitabu cha ufunuo kila kitu kiko clear.
 
Enzi za mwalimu wale wote waliotegea kazi leo wangechapwa viboko.
Ebu tujikumbushe kauli moja ya babu yetu(baba wa taifa)
"Hatukua na utani utani hata kidogo!
Tukatunga sheria,tukasema akibainika mtu kala rushwa mhh,akibainika mtu katoa rushwa mhh,aliyetoa,aliyepokea wooooooooote amanzi ga nyanza teh teh the teh!
"TUKASEMA ATAKWENDA NDANI TEH!ATAPATA VIBOKO ISHIRINI NA VINNE TEH!KUMI NA VIWILI SIKU ANAINGIA TEH!KUMI NA VIWILI SIKU ANATOKA AKAMUONYESHE MKEWE TEH TEH TEH TEH TEH TEH!
 
Tofautisha Kanumba na Mahundi,
Yule alikalia kile kiti au kwa kuteuliwa au kupandishwa cheo .
Kanumba ni tarent zake zimelifanya taifa kujulikana na watu kumjua na kumpenda
Je huyo Mahundi alifanya kitu gani cha kipekee kwa taifa kama si kutii ya wakuu wake![/QUOTE

Wakuu, kuwa kiongozi wa kiserikali au kisiasa hakutoshi kupata heshima katika jamii au kukubalika.
Checkout the most influential women/men in the world utawakuta kina Oprah, brad pitt, bill gates etc.
Hawa wote si viongozi wa siasa wala technocrats ila wamegusa maisha ya wengi kwa namna moja au
nyingine. Point ni kwamba huyo IGP aligusaje watu ukilinganisha na Kanumba?
 
Back
Top Bottom