Kikao cha bunge leo wabunge ni wachache mno

Hivi ni kweli Mahundi alikuwa IGP jamani? Au mkuu wa polisi wa mkoa? Kama ni kweli alikuwa IGP basi kweli serikali hii ni ya kisanii ndo maana imehamia kwa Kanumba na kuachana na former IGP, au inatafuta/ kufufua influence ya vijana kwa CCM.
 
Quoting Ndinani of Jamii forum as he quoted J. F. Kennedy of USA: " A nation reveals itself not only by the men it produces but also by the men it honors......."
Very very true,nami naomba niweke msisitizo kwa ku quote "A Nation reveals itself not only by the men it produces but also by the men it honors"
 
Hama kweli kanumba alikuwa mtu wa watu. Mie sio mpenzi wa Bongo Movies wala Kanumba ila msiba umegusa wengi. Poleni wote mlioguswa na msiba huu.
 
Mimi nadhan pasco amekuwa mvivu wa kufikiria! Pia naungana na wana bodi wengine wanaosema bahasha zinampoteza huyu ndugu yetu.. Kama huna agenda muhimu soma za wenzako then kaa kimya sio lazima kila siku upost matokeo yake unajidhalilisha kama hivi.. Kumbuka humu ni kwa Great Thinkers .
Hivi hapa kosa langu ni lipi?. Kuripoti bunge limesimama dakika moja kuobserve one minute silent!.

Tena honestly nilifungua TV ili kushuhudia kuapishwa kwa Kamanda Nasary!.

Hili tukio hili la a minute silence ya bunge kwa ajili ya Kanumba is not a small thing!.
 
Ndio hawa wabunge watunga sheria wasiojua sheria kwamba kanumba alikua na makosa kua na uhusiano wa kimapenzi na under 18, ths is STUPID, death is his punishment !
 
Hivi hapa kosa langu ni lipi?. Kuripoti bunge limesimama dakika moja kuobserve one minute silent!.

Tena honestly nilifungua TV ili kushuhudia kuapishwa kwa Kamanda Nasary!.

Hili tukio hili la a minute silence ya bunge kwa ajili ya Kanumba is not a small thing!.
Kumbe hujui kosa lako???
Subili hapo hapo nije nikukumbushe kosa lako alafu anza kujitetea mzee wa bahasha wewe!!
 
Wanabodi,
Kosa lako ni hili hapa!
Kikao cha Bunge kimeanza kwa Spika kutangaza wabunge kusimama kwa kimya cha dakika moja ( a minute silence) kumkumbuka Msanii Stephen Kanumba ambae ametoa mchango mkubwa kukuza tasnia ya Filamu Tanzania!.
This is the highest honor ambayo mtu mwingine yoyote non politician amewahi kuipata!.
Kanumba amepata heshima kubwa inalingana na viongozi wakuu wa kitaifa!.
Nami nakiri rasmi Kanumba is really and trully The Great!.
RIP Kanumba The Great!
 
Una la kujitetea???
 
Hivi hapa kosa langu ni lipi?. Kuripoti bunge limesimama dakika moja kuobserve one minute silent!.

Tena honestly nilifungua TV ili kushuhudia kuapishwa kwa Kamanda Nasary!.

Hili tukio hili la a minute silence ya bunge kwa ajili ya Kanumba is not a small thing!.

Viongozi wa bunge letu ni MAZEZETA

Ingekuwa vema kama wangesimama kuwakumbuka waliokufa wakati wa mgomo wa maDR kipindi kile....
 
Kwa respect kubwa aliyopewa kanumba hata IGP wa zamani akaonekana si kitu,ukijumlisha na uwezo mdogo wa kufikiri wa viongozi wetu msije kushangaa wanatangaza KANUMBA DAY kuazimishwa kila mwaka....Poor Tanzania!Hivi viongozi wetu wana kazi za kufanya kweli?
 
Kanumba ametoa mchango mkubwa sana kwenye tasnia ya filamu, ameitangaza Tanzania Duniani kote so anastahili heshima hiyo

Ameitangaza kivipi? naomba unikumbushe kazi yoyote ya kanumba ambayo ilikuwa imebeba ujumbe wa kitaifa kwa manufaa ya Taifa hili? Acheni kuongozwa na emotions kupita kipimo?
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Yessss....Mzee Mahundi !
Sijui vipimo huwa ninini!
Ina maana utumishi wake haukutukuka?

Hii nchi inaongozwa kisanii sana, namna ambavyo msiba wa Kanumba unachukuliwa ukijumlisha na misingi ya kumvua Mheshimiwa Lema Ubunge ni ushahidi kwamba tuna ombwe kwenye mihili yote mitatu ya Taifa letu.
 
nadhani ilitakiwa kwenye dk 1 hiyo ya utulivu Spika angeunganisha vifo vyote viwili ila kwa nimjuavyo mama yetu ukute kapitiwa.
Ila sioni ajabu bunge kuomboleza kifo cha Kanumba, maana hata SImba na Yanga walishaenda bungeni kisa ushindi wa kawaida tu na safari hii huchelewi kusikia Simba wanaenda Bungeni kwa kuwafunga Es Settif.
Masahihisho kidogo Mkuu, Simba wataenda kupongezwa Bungeni kwa kufungwa 3-1 na Es Settif kule Algeria then wakapata aggregate favour na kwenda raundi ya pili. haya kwetu ni mafanikio makubwa maana kwenda raundi ya pili imeshaonekana ni ndoto!!
 
Very very true,nami naomba niweke msisitizo kwa ku quote "A Nation reveals itself not only by the men it produces but also by the men it honors"

Afadhali.
Hili ni taifa lisilojali misingi ya Familia, ndio maana hata watu wanaovunja misingi ya maadili ya kitanzania wanahenziwa kiasi hiki.
 
Wanabodi,
Kosa lako ni hili hapa!
Kikao cha Bunge kimeanza kwa Spika kutangaza wabunge kusimama kwa kimya cha dakika moja ( a minute silence) kumkumbuka Msanii Stephen Kanumba ambae ametoa mchango mkubwa kukuza tasnia ya Filamu Tanzania!.
This is the highest honor ambayo mtu mwingine yoyote non politician amewahi kuipata!.
Kanumba amepata heshima kubwa inalingana na viongozi wakuu wa kitaifa!.
Nami nakiri rasmi Kanumba is really and trully The Great!.
RIP Kanumba The Great!

Mwezi huu huu tumempoteza former IGP,JE na yeye amekumbukwa.Rip H.MAHUNDI
 
Back
Top Bottom