Kijiwe kikali cha kujivinjari hapa Mwanza

Kijiwe kikali cha kujivinjari hapa Mwanza

ngaillob

Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
66
Reaction score
32
wadau poleni na majukumu nlikua nmepata safari ya mwanza sasa nilitaka wataalam wanaojua vijiwe vinavyobamba hapa mwanza i mean pub
 
mkuu hii ipo kweli au ndo wameipa jina kutokana na mambo yetu yale
 
Ukifika tupeane taarifaa viwanja vya bata ni wewe labda tatizo iwe pesa yako mjin kati hotel ya hadhi ya kulala tajiri ni kama 2m kwa siku
 
Back
Top Bottom