General Galadudu
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,868
- 2,236
We utampoteza huyo, panaitwa TaiwanSAIVI mwanza pazuri ni TEI ONE Nyamongolo Kwa waziri mambo ya ndani
We utampoteza huyo, panaitwa TaiwanSAIVI mwanza pazuri ni TEI ONE Nyamongolo Kwa waziri mambo ya ndani
Wakinga mmeanza toka.lini kujirusha
Ukiona Mkinga ameanza kujirusha, elewa kuwa yuko sawa sawa kweli, maana Mkinga akiwa na milion 200 bado bahili tuu! Either ana mia 500 au anakaribia B hapo ndo huanza kujirusha.
SAIVI mwanza pazuri ni TEI ONE Nyamongolo Kwa waziri mambo ya ndani
Sikutegemea mleta hii thread kupata majibu ya maana!Nenda makoroboi
Pakishua then bia buku1500 tuNenda Bundesliga
Oyi ijumaa njoo diamond nitakuwepoMtoa mada naomba kuunga tela[emoji6][emoji6]
😋😋😋😋! Inshallah tukijaaliwaOyi ijumaa njoo diamond nitakuwepo
Kuna malaya mademu wachafuLas Vegas ndo penye
Nakupm namba[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]! Inshallah tukijaaliwa
Pale Kona ya Bwiru?Las Vegas ndo penye
Yap, hapohapoPale Kona ya Bwiru?
Wananyonya koni balaaKuna malaya mademu wachafu
Lile eneo huwa naona kama sehemu za kujirusha ni mbili.Kuna hiyo Las Vegas na jirani yake kwa mbele ipo nyingine classic hivi.Yaani kama zimepakana hivi.Huwa najiuliza kama ni mbili kama ninavyoona au ni hiyohiyo moja tu maana zimekaribiana mno.Yap, hapohapo
Kama katoro na buselesele vileLile eneo huwa naona kama sehemu za kujirusha ni mbili.Kuna hiyo Las Vegas na jirani yake kwa mbele ipo nyingine classic hivi.Yaani kama zimepakana hivi.Huwa najiuliza kama ni mbili kama ninavyoona au ni hiyohiyo moja tu maana zimekaribiana mno.
🙏Kama katoro na buselesele vile
Zipo tatu ila ya katikati imepoa kiaina, Las Vegas na diamond ndo mpango mzimaLile eneo huwa naona kama sehemu za kujirusha ni mbili.Kuna hiyo Las Vegas na jirani yake kwa mbele ipo nyingine classic hivi.Yaani kama zimepakana hivi.Huwa najiuliza kama ni mbili kama ninavyoona au ni hiyohiyo moja tu maana zimekaribiana mno.