Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,177
- 14,155
Asante ntaziibukia siku moja zote tatu.Zipo tatu ila ya katikati imepoa kiaina, Las Vegas na diamond ndo mpango mzima
Asante ntaziibukia siku moja zote tatu.Zipo tatu ila ya katikati imepoa kiaina, Las Vegas na diamond ndo mpango mzima
Panaitwa Diamond AutolinkLile eneo huwa naona kama sehemu za kujirusha ni mbili.Kuna hiyo Las Vegas na jirani yake kwa mbele ipo nyingine classic hivi.Yaani kama zimepakana hivi.Huwa najiuliza kama ni mbili kama ninavyoona au ni hiyohiyo moja tu maana zimekaribiana mno.
Mkuu ijumaa nitakuwepo nitakushtuaZipo tatu ila ya katikati imepoa kiaina, Las Vegas na diamond ndo mpango mzima
Sawa kada.Asante ntaziibukia siku moja zote tatu.
Haina noma mkuuMkuu ijumaa nitakuwepo nitakushtua
Kuna sehemu moja chafu chafu ipo opposite na Villa park, ilikuwa inaitwa Kiss Pub, bado ipo Mkuu? Ilikuwa na balaa mle ndani, vitoto vidogo vinajiuza. Niliinjoi sana mwanza October, 2015. Wakati huo kila unapopita ni ile nyimbo ya CCM utaisoma namba. Kampeni za Nyamagana zilikuwa tamu sana, Mabula na Wenje.Zipo tatu ila ya katikati imepoa kiaina, Las Vegas na diamond ndo mpango mzima
Kuna sehemu moja chafu chafu ipo opposite na Villa park, ilikuwa inaitwa Kiss Pub, bado ipo Mkuu? Ilikuwa na balaa mle ndani, vitoto vidogo vinajiuza. Niliinjoi sana mwanza October, 2015. Wakati huo kila unapopita ni ile nyimbo ya CCM utaisoma namba. Kampeni za Nyamagana zilikuwa tamu sana, Mabula na Wenje.
Ntakupm mimi..wewe hutawwza!Nakupm namba
Fanya hivyoNtakupm mimi..wewe hutawwza!