wadau poleni na majukumu nlikua nmepata safari ya mwanza sasa nilitaka wataalam wanaojua vijiwe vinavyobamba hapa mwanza i mean pub
Ulizia pia sehemu ya kumfanyia Mungu wako ibada
[emoji121]wadau poleni na majukumu nlikua nmepata safari ya mwanza sasa nilitaka wataalam wanaojua vijiwe vinavyobamba hapa mwanza i mean pub
njoo mama tujuike strees nyingi sana
Avatar yako nimeipendaYa kaisara mpeni kaisari mkuu...
Nenda Diamond njia panda ya Airport na Bwiruwadau poleni na majukumu nlikua nmepata safari ya mwanza sasa nilitaka wataalam wanaojua vijiwe vinavyobamba hapa mwanza i mean pub