Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,136
- 4,298
Ukweli ndo upo hivyo, mbali na mtazamo, hata Mhispanania mwenyewe hasumbuki kusoma maneno ya kiswahili,hili nimelijaribu mwenyewe.Mkuu unabisha tu lakini duniani lugha raisi kwa mswahili kujifunza ni Spanish na Italian. German na French ni lugha ngumu kuliko hizo mbili.
Anyways ni mtizamo wangu. Labda inategemea mtu na mtu.