Kijana yenu nipo hapa kwa mtu yeyote ambaye anataka kuniagiza kitu

Dumejr

Member
Feb 16, 2021
56
48
Habarini,

Kwa wale wafanyabiashara, wafanyakazi, wajasiriamali haswa mliokuwepo mkoani hata ambao mpo ndani ya dar es salaam ambao mlikuwa mnapata shida kuagiza kitu au bidhaa yeyote kutokana na kukosa nafasi au mtu wa kumuagiza bidhaa.

Kijana yenu nipo hapa kwa mtu yeyote ambaye anataka kuniagiza kitu au kumchukulia bidhaa yeyote kwa waliokuwepo mkoani ndani ya dar es salaam ni kwa gharama nafuu kabisa na kwa uaminifu na kukufikia mlengwa kwa wakati sahihi

NB: (1) NAISHI DAR ES SALAAM
(2) NIPO TAYARI KUTUMA VITAMBULISHO VYANGU AMBAE ATAKUWA NA HOFU NA MM
(3) GHARAMA YA KUNIAGIZA KWA BIDHAA MOJA UNANILIPA 3000
(4) GHARAMA YA USAFIRI NI JUU YAKO UTAKAENIAGIZA
(5) NINA HOFU YA MUNGU PIA NI MUAMINIFU
 
Mzee instead kufanya hivyo azima PC kwa mtu au nunua hata ya 120K na External ya 50K tu jazz Movie kama 300 tangaza uuze movie zoote muekee mtu kwa 10,000 Tzs utapata pesa zaidi ya hio bila kubembekeza watu kama upo free yaani
 
Kwa sababu hii ni kazi nikimtapeli nitapata wapi wa kuniamini tena kuagiza mzigo
Anayekupa kazi atajuaje kuwa ulishatapeli mtu? Anyway, hatua ya kwanza ya kuaminiwa ni kuipata hiyo kazi. Kila la heri boss. MUNGU akufungulie milango.
 
Back
Top Bottom