ghost zu'l zorrander
Member
- Jun 5, 2013
- 6
- 1
yaan guys sio siri dunia imekwisha leo kwa mtaa wetu uku, kuna jamaa kambaka mzee wa miaka 80 sasa mi sielewi, huyu jamaa tatizo lake ni nini tamaa,ugwadu, uchizi wa mapenzi au ni nini hasa?
yaan guys co cri dunia imekwisha leo kwa mtaa wetu uku, kuna jamaa kambaka mzee wa miaka 80 xaxa mi celewi, huyu jamaa tatizo lake ni nini tamaa,ugwadu, uchizi wa mapenzi au ni nini hasa?
huyo bibi alivaa kimini, au aliacha boobs nje?
nafikiri angalau kwa sasa meona kuwa wabakaji wana matatizo ya akili tu (they are sick in their thick heads) na sio kwakuwa wanawake wanatembea nusu uchi.
Hapo kwenye bold, "xaxa" maana yeke nini? kulikua na uzi hapa kuwa, mtu anayeandika hivi (hasa vijana wakiume) naye anaelekea "anabakwa"! Huwezi kuandika lugha sahihi?yaan guys co cri dunia imekwisha leo kwa mtaa wetu uku, kuna jamaa kambaka mzee wa miaka 80 xaxa mi celewi, huyu jamaa tatizo lake ni nini tamaa,ugwadu, uchizi wa mapenzi au ni nini hasa?
yaan guys co cri dunia imekwisha leo kwa mtaa wetu uku, kuna jamaa kambaka mzee wa miaka 80 xaxa mi celewi, huyu jamaa tatizo lake ni nini tamaa,ugwadu, uchizi wa mapenzi au ni nini hasa?[/QUOTE]
BANGE hizo zinawasumbua vijana
ukiandika vizuri unapungukiwa nini!!!!!!!!
hii ni JF na sio FB
back to the topic huyo jamaa ana tamaa na ugwadu ulizopitilizika......,
vijana wenzie hajawaona huko mtaani kwao
kujitaftia laana tuu!!!!!
Hapo kwenye bold, "xaxa" maana yeke nini? kulikua na uzi hapa kuwa, mtu anayeandika hivi (hasa vijana wakiume) naye anaelekea "anabakwa"! Huwezi kuandika lugha sahihi?
ukiandika vizuri unapungukiwa nini!!!!!!!!
hii ni JF na sio FB
back to the topic huyo jamaa ana tamaa na ugwadu ulizopitilizika......,
vijana wenzie hajawaona huko mtaani kwao
kujitaftia laana tuu!!!!!
asa mtu anajiita ghost unategemea nn..hehehe
Wanawake wamekuwa scapegoat ya vitu vingi sana, kuna wakati nabaki mdomo wazi tu
huyo bibi alivaa kimini, au aliacha boobs nje?
nafikiri angalau kwa sasa meona kuwa wabakaji wana matatizo ya akili tu (they are sick in their thick heads) na sio kwakuwa wanawake wanatembea nusu uchi.
I strongly agree! Siku zote huwa najiuliza, hivi wabakaji wameshindwa hata kwenda kununua basi wale wanaojiuza? Wameshindwa hata kwenda kwenye madanguro (ingawa binafsi si-support hayo mambo)? Ila hata hivyo, hii haiwezi kuwa justification ya baadhi ya wanawake kutembea wakiwa wameacha sehemu kubwa ya maumbile yao nje!!!
Of course the same way mtu akivaa nusu uchi asiambiwe atabakwa kwakuwa katembea nusu uchi. Changamoto mliyo nayo na hampendi kuikubali ni kutoweza kuwafanya wadada/wamama/wakaka wakaacha kuvaa nusu au robo uchi. Mmeshindwa kuwafanya waone kwamba kuvaa wanavyovaa si vizuri matokeo yake mnawatishia kubakwa na bila kujua mnawaaminisha wenye vichwa vibovu kuwa ni sawa kumbaka mdada aliyevaa kimini.
Kaunga, baadhi ya watu wanajitahidi sana kupiga kelele kuhusu hili. Viongozi wa dini wanaimba kila siku kwenye majengo yao ya ibada, na hata hapa JF wako watu wanapiga kelele kuhusu uvaaji huu ambao obvious ni kinyume na tamaduni zetu, lakini kizazi hiki cha nyoka hata hakisikii. Sasa sijui ulitaka watu wafanye nini kama siyo wenyewe kuwa na sikio la kusikia?
Kaunga hebu tafakari uvaaji wa baadhi ya akina dada wa siku hizi ambao wameamua kuacha kuvaa nguo za ndani kabisa na kisha kuvaa nguo fupi zinaweka maeneo nyeti ya miili yao nje, tusemeje na hawa?!