Nyetk
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,648
- 1,701
ukiandika vizuri unapungukiwa nini!!!!!!!!
hii ni JF na sio FB ....../QUOTE]
Huwa wananikera sana kiukweli!
ukiandika vizuri unapungukiwa nini!!!!!!!!
hii ni JF na sio FB ....../QUOTE]
Huwa wananikera sana kiukweli!
ukiandika vizuri unapungukiwa nini!!!!!!!!
hii ni JF na sio FB ....../QUOTE]
Huwa wananikera sana kiukweli!
na wanatufanya badala ya kuchangia mada
tunaanza na kuwasahihisha hiyo miandiko yao
Kweli kabisa.....tatizo la akili ni mojawapo ya sababu ya kubaka ila usisahau wengi wanaobaka wazee na vichanga wanakuwa wanatimiza masharti ya uganga.huyo bibi alivaa kimini, au aliacha boobs nje?
nafikiri angalau kwa sasa meona kuwa wabakaji wana matatizo ya akili tu (they are sick in their thick heads) na sio kwakuwa wanawake wanatembea nusu uchi.
huyo bibi alivaa kimini, au aliacha boobs nje?
Nafikiri angalau kwa sasa meona (kwa gharama lakini, pole bibi!) kuwa wabakaji wana matatizo ya akili tu (they are sick in their thick heads) na sio kwakuwa wanawake wanatembea nusu uchi.
huyo jamaa alipata ma feelings toka kwa mdada aliyekuwa kavaa kimini tu or aliangalia mkanda wa x. Hujui hata wapiga punyeto huwa wanatumiaga feelings kufanya mambo yao?. Kwa kweli mnauzigi sana mnavyovaa huku mmeacha mipaja yenu nje.
wape sababu ambazo wataziona na wao kuwa za msingi kuwa kutovaa chipi na 1/4 uchi ni vibaya. Ni lazima hizo sababu ziwaingie ndio waache; naona tunakubaliana pamoja na juhudi za viongozi wa dini (kutishia moto wa milele) na wanajamii wengine bado hawajaacha.
labda tuishinikize serikali sasa, iweke sheria iliyo well defined ikiwezekana na michoro ili watu wasivae nusu uchi; mbona uarabuni wameweza?????
Hapo penye bold pia nakuunga mkono, ni vyema kukawa kuna sheria za kuzuia baadhi ya mavazi kwenye maeneo ya wazi na kwenye jamii husika. Hebu ona uvaaji huu wa baadhi ya wadada ambao kwa sasa unageuka kuwa kama fashion vile, tunyamaze kweli???!
![]()
![]()
hahahah, ila hizo picha mnazipenda ndio maana mnazisave kwenye PC na simu zenu.
hiyo ya chini si bure jamaa alikivuta kimini cha mdada kwa kutumia mike aloishika.
Kaunga tafadhali, na umri wangu huu, kweli?! Haya ndo mavazi yaliyo kinyume na tamaduni zetu!