mwana itifaki
Senior Member
- Jan 30, 2020
- 105
- 351
Nisiwachoshe
Kama huna nia ya kumla mwanamke acha kabisa story nae. Mademu wengi wanapenda sana mazoea na wanaume lakini deep down wanakua na agenda zaidi hasa kumtumia na kisha kuhakikisha heshima ya mwanaume huyo inashuka.
Naongea from experience furaha ya wanawake wengi ni kuona mwanaume anadharirika kabisa na kupoteza utu wake.
Kupitia kujuana wataleta njaa na wakiona hawawezi kufaidika tena na wewe tegemea dharau na kuchafua heshima yako ishuke na mwisho jamii nzima ikudharau.
Sehemu yoyote kama ofisini au mtaani kama huna nia ya kumla demu fulani usiwe kabisa na story nae ili kuepusha disappointment ndogondogo zinazoweza kuepukika.
Nadhani naturally mwanaume na mwanamke hawajaumbwa kukaa pamoja.