Gaga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,558
- 1,968
Ungempa kabisa masharti kabla na yeye angejua kama uko kibiashara zaidi kuliko kusubiria miezi yote hiyoKi ukweli sikumwinda, ila yeye alishoboka mwenyewe tu na body yangu....nakumbuka tulikutana supermarket moja hivi hapa mjini kila mtu akiwa amekuja hapo ki vyake. Kuhusu pesa,hilo si la kuuliza mkuu! hivi mtu mzima kama huyu why anitumie bure? ni lazima akate mkwanja wa maisha ili tuende sawa. Simng'ang'anii ila yeye ndiye ananing'ang'ania sana na ananipenda kupita maelezo.