Kijana najituma sana kwa huyu mama, lakini bahili! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijana najituma sana kwa huyu mama, lakini bahili!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mshikachuma, Sep 4, 2011.

1. mshikachuma

mshikachuma JF-Expert Member

#1
Sep 4, 2011
Joined: Dec 2, 2010
Messages: 2,853
Likes Received: 16
Trophy Points: 0
Heshima mbele wana jamvi!. Hii ni true story na siyo tungo.

Ni mara chache sana huwa napita kwenye jukwaa hili la MMU....jukwaa la siasa ndiyo maskani yangu hasa.
Ila kutokana na issue ambayo inanichanganya kidogo,nimeona si mbaya kwa leo nikipita huku ili kupata maoni kidogo juu ya swala hili.
Binafsi mie ni kijana,siko chini ya miaka 29 na sijafikia miaka 35. Kama mnavyojua mambo ya mjini katika mizunguko ya hapa na pale
siku moja nikakutana na lijimama (mke wa mzito fulani) yaani ni lijimama la nguvu,limepanda hewani,maji ya kunde. Umri wake nahisi ata
kuwa kwenye 55 au 60. Tokea tumeanza mahusiano huu ni mwezi kama wa 7 hivi, lakini kitu ambacho kinanisikitisha ni hubahiri wa huyu
mama kwenye pesa. Yaani ananipeleka kwenye hotel za bei na analipia room kuanzia elfu 50 hadi 80,nakula na kunywa ninachokitaka na
analipa bili yote! lakini linapokuja swala la kumuomba anisaidie pesa kiasi fulani' basi hapo huwa mbogo na mkali....na hiyo pesa hanipi.
Kama kujituma tuwapo kwenye 6x6 najituma sana hadi mwenyewe anaridhika,lakini likija swala la mimi kutaka pesa mama anakuwa bahili.
Sasa najiuliza, maisha haya mpaka lini? ukizingatia kitu ninachokifanya ni zambi kwa mungu! na mke wa mtu ni sumu. Lakini majuzi kaniam
bia eti kuna kitu cha maana sana atanifanyia na nitafurahi sana....lakini simwamini kutokana na ubahili wake (lakini ni family yenye mshiko)

Naombeni ushahuri wenu jamani! - Je ni kweli iko siku atanitoa au ananitumia tu kama condom?.

2. Nyani Ngabu

Nyani Ngabu Platinum Member

#2
Sep 4, 2011
Joined: May 15, 2006
Messages: 73,651
Likes Received: 35,409
Trophy Points: 280
You only get compensated for service(s) rendered. Wake up!

3. SMU

SMU JF-Expert Member

#3
Sep 4, 2011
Joined: Feb 14, 2008
Messages: 7,920
Likes Received: 2,069
Trophy Points: 280
Sasa hapo 'unajituma' au 'unatumika'? Hata hivyo pole.

4. Victoire

Victoire JF-Expert Member

#4
Sep 4, 2011
Joined: Jul 4, 2008
Messages: 10,453
Likes Received: 7,216
Trophy Points: 280
Jibu analo huyo mama.Tamaa bwana mbaya sana.Any way upo kazini.mtishie muachane coz hupati maslahi

5. MAMMAMIA

MAMMAMIA JF-Expert Member

#5
Sep 4, 2011
Joined: Feb 26, 2008
Messages: 3,822
Likes Received: 23
Trophy Points: 0
Kama unajituma kibiashara, ninakushauri ubadilishe eneo la mradi ijakuwa bashara itabaki kuwa hiyo hiyo.

6. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#6
Sep 4, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,971
Likes Received: 2,966
Trophy Points: 280
Kumbe bado kuna wanaume wajinga. Hili nalo linahitaji katiba mpya?. Wewe mwili wako una thamani ya shilingi ngapi? Umemfanyia kaz gan il akulipe? Hawa ndio nyie mnasifu ngono na pombe halafu unadai ccm inakuonea. Ungekuwa karibu yangu ningekutandka kofi.

7. The great R

The great R Senior Member

#7
Sep 4, 2011
Joined: Jun 7, 2011
Messages: 142
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
chapa lapa huna chako hapo,anapenda mashine yako tu,ndio maana anakupeleka hotel nzuri ili awe comfortable,anakulisha chakula kizuri ili ushibe upige show ya uhakika.Acha kupenda dezo mtoto wa kiume halafu unafanya dhambi hujui mke wa mtu ni sumu??

8. N

Nehondo JF-Expert Member

#8
Sep 4, 2011
Joined: Aug 14, 2011
Messages: 311
Likes Received: 4
Trophy Points: 35
Mweeeee

9. The Mockingjay

The Mockingjay JF-Expert Member

#9
Sep 4, 2011
Joined: Jan 11, 2011
Messages: 380
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
Mwanamke hatoi hela kwa mwanaume wewe unless ni mume wake. You silly man.

10. The Mockingjay

The Mockingjay JF-Expert Member

#10
Sep 4, 2011
Joined: Jan 11, 2011
Messages: 380
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
Nimesahau...

Shame on you jigolo mkubwa we!

11. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#11
Sep 4, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,971
Likes Received: 2,966
Trophy Points: 280

bwana ake akistukia mchezo, ataguswa kijambio. Mwache aendelee ni huo ujinga.

12. B

Bajabiri JF-Expert Member

#12
Sep 4, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Hahahaaaa,eneo la sasa halina faida???nadhan hawakujadili kabla ya dogo kuanza kazi,ila he expect to acquire bad results

13. rosemarie

rosemarie JF-Expert Member

#13
Sep 4, 2011
Joined: Mar 22, 2011
Messages: 6,767
Likes Received: 1,023
Trophy Points: 280
kumbe bado kuna wanaume wa aina hii wanaishi duniani???mkuu umechelewa sana

14. B

Bajabiri JF-Expert Member

#14
Sep 4, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Mtoto wa pili leo namuona hapa jf,asubuhi kuna bwa'mdogo mwenzio alikua anajisifia kuwa ameopoa mwanamke kwa muda mchache baada ya kumeet nae,najua utoto ndo unakusumbua,uhusiano usio na future ni utumwa

15. s

shosti JF-Expert Member

#15
Sep 4, 2011
Joined: Dec 21, 2010
Messages: 4,949
Likes Received: 28
Trophy Points: 145
mhh masikini nguvu zinakuisha cha maana hakuna.......sasa si bora ukazitumie kwa kijana mwenzio maana utaambulia ngoma hata kachoo ka kuharia huna!

16. B

Bajabiri JF-Expert Member

#16
Sep 4, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Ni mtoto ndo maana anasema hajafika hata 29;inawezekana atakua ni mwanafunzi,tena wa diploma na kama ni shahada basi mwaka wa 1 au wa pili,ila hajamaliza chuo,,,,,,stori hizi hupiga watoto

17. Katavi

Katavi Platinum Member

#17
Sep 4, 2011
Joined: Aug 31, 2009
Messages: 39,473
Likes Received: 4,130
Trophy Points: 280
Una laana wewe!

18. Edward Teller

Edward Teller JF-Expert Member

#18
Sep 4, 2011
Joined: Oct 31, 2010
Messages: 3,818
Likes Received: 83
Trophy Points: 145
naweza sema wewe ndo unatumika,na kumbuka mke wa mtu sumu,bora uachane naye

19. N

Ninaweza JF-Expert Member

#19
Sep 4, 2011
Joined: Dec 14, 2010
Messages: 7,171
Likes Received: 1,174
Trophy Points: 280
Siku nyengine usifanye biashara usiojua utafaidikaje! Mwanaume mzima unapouza mwili, ovyooooooooo!

20. mikatabafeki

mikatabafeki JF-Expert Member

#20
Sep 4, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 12,837
Likes Received: 2,101
Trophy Points: 280
huh................tembeea faaasta

Loading...