cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,157
- 181,310
Mie cna tatizo hilo, ila nipo tayari kumsaidia huyo muhusika.Na ww kwann hukusema siku zote kuwa una tatizo kama hili watu waache kukutukana humu ndani?
Mie cna tatizo hilo, ila nipo tayari kumsaidia huyo muhusika.Na ww kwann hukusema siku zote kuwa una tatizo kama hili watu waache kukutukana humu ndani?
Marekani mbali, aende Kenya hapo tyuuh.Inachosikitisha ni kwamba Jamii zetu haziwatambui na kuwapa nafasi watu wa namna hii.
Mimi naomba nimshauri atafute hifadhi kwenye Mataifa ambayo Yanatambua hali kama hizo, Nadhani huko marekani wanatambua, Aende akakae huko atakuwa mtu wa kawaida na pengine atakutana na watu wanaofanana na yeye ambao wapo wazi zaidi
Kama kuna utayari.Simple kabisa
Warumi yupo hai?Haya masuala anayaweza [mention]cocastic [/mention] na labda binamu warumi hapo umuunganishe aweze kupata msaada zaidi,
Word.........Nimewahi ona na kuambiwa kuwa chizi anayefurahisha hatoki kwenye familia yenu.
Yule wa Kenya alikua Ni mwanamke pure ila mwenye clit ndefu TU, hakuna Cha jinsia mbili Wala nn.Marekani mbali, aende Kenya hapo tyuuh.
Ila huyu rafk angu yeye ana uume kabisaa,. Yuko Kenya now.Yule wa Kenya alikua Ni mwanamke pure ila mwenye clit ndefu TU, hakuna Cha jinsia mbili Wala nn.
Baada ya uchaguz
Alipelekwa s.africa kupimwa na majibu yakatoka hivo
View attachment 2445037
Nawaona nawaona..

Hujui kwa sasa ana hali ganiMtwara, wilaya ya Masasi, Kijiji X, Kitongoji X, nilikutana na mtu mwenye jinsia mbili, Kwa muonekano anaonekana mwanaume lakini ana jinsia mbili, na anaingia period kama kawaida, kilichonihuzunisha ni kwamba akiwa mdogo aliacha shule akiwa darasa la tatu, baada ya wenzake shuleni kuwa wanamcheka, Mungu humpa mtu jaribu analoweza kulimudu, unaweza ukawa una shida umeumbwa nayo, Ila ukisikia ya mwenzako, Unaona heri ya shida zako
#TUSIWATENGE
#TUSIWADHIHAKI
#TUWE SAUTI YAO
#NI WENZETU PIA
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yupo tu, Kila napoenda Mtwara namkuta, maana ni jirani yangu Kwa kule Mtwara, ni kijana mdogo tu hata miaka 20 Bado hajafika, nadhani amekubaliana na Hali yakeHujui kwa sasa ana hali gani
Coca ni kweli umeingiwa na moyo wa kumsaidia huyo mtu au umeingiwa na pepo chafu ambalo linataka kufanya yake kwa huyo mkaka/mdada wa watu?
Halafu mbona muandiko wako unafana na wa mtoa mada? View attachment 2445413View attachment 2445414

kumekuchaIkitokea 2005 mahakamani mwamba Yuko hivyo,magereza vichwa viliuma wamuweke sero ganiNauliza hawezi kufanyiwa sajeri kuondoa moja abaki na moja yenye nguvu?
Wanaitwa khuntha,Kuna mzee mitaa ya tungi tmk alikua hivyo,kinyemela alikua anabandiliwa na mzee mwenziyeKenya wanawatambua hao watu, kuna jina wanaitwa huko.
Ni ngumu sana kuish ivo aisee, kishule shule ukiwa na kasura ka kike tu utataniwa balaa, hiyo hali yake ni lazma atakua anazodolewa sana.
Mcheki huyo cocastic , huenda kweli ana namna ya kumsaidia.
Coca ni kweli umeingiwa na moyo wa kumsaidia huyo mtu au umeingiwa na pepo chafu ambalo linataka kufanya yake kwa huyo mkaka/mdada wa watu?
Halafu mbona muandiko wako unafana na wa mtoa mada? View attachment 2445413View attachment 2445414

mtoa mada ndo mie mwenyewee, bhana mie nataka kumsaidia lol. Serious mie naweza kumsaidiaaaa.Kenya wanawatambua hao watu, kuna jina wanaitwa huko.
Ni ngumu sana kuish ivo aisee, kishule shule ukiwa na kasura ka kike tu utataniwa balaa, hiyo hali yake ni lazma atakua anazodolewa sana.
Mcheki huyo cocastic , huenda kweli ana namna ya kumsaidia.
Inaumizaaaa mnoooo.Wanaitwa khuntha,Kuna mzee mitaa ya tungi tmk alikua hivyo,kinyemela alikua anabandiliwa na mzee mwenziye