Kijana mwenye jinsia mbili

Kijana mwenye jinsia mbili

Shule zetu nyingi zimenyanyasa sana watu wenye ulemavu ama upungufu wa jambo fulani .
Mm nakumbuka shule ya msingi kuna jamaaa alikua anamatatizo ya kusikia mpaka uongee kwa sauti kidogo ndo anasikia watu darasani walikua wanamtukana yy anajibu ndio ...kumbe mtoto wa watu hajasikia kaona akubali tu basi wanamchekaaaa..hali hii ilimfanya awe anajitenga sana na watu.Mm nikaanza kujenga nae ushikaji akawa mwanangu sana na mm nilikua kilanja nilipiga mkwara mzito plus na kugawa ngumi kwa wale wabishi ndo ikawa nafuu kwake.
Huwezi amini mpaka leo kawa km ndugu na maisha yake yako good tu.
Hata watoto wetu jamani tukikaa nao ukasikia anasema kuna mwanafunzi hana akili ama ana mapungufu fulani mkanye asimcheke wala kumdhiaki.
Ukweli mzito
 
Haya masuala anayaweza [mention]cocastic [/mention] na labda binamu warumi hapo umuunganishe aweze kupata msaada zaidi,
Wee huyawezi? Acha kudhihaki binadamu mwenzio, lol.
 
Shule zetu nyingi zimenyanyasa sana watu wenye ulemavu ama upungufu wa jambo fulani .
Mm nakumbuka shule ya msingi kuna jamaaa alikua anamatatizo ya kusikia mpaka uongee kwa sauti kidogo ndo anasikia watu darasani walikua wanamtukana yy anajibu ndio ...kumbe mtoto wa watu hajasikia kaona akubali tu basi wanamchekaaaa..hali hii ilimfanya awe anajitenga sana na watu.Mm nikaanza kujenga nae ushikaji akawa mwanangu sana na mm nilikua kilanja nilipiga mkwara mzito plus na kugawa ngumi kwa wale wabishi ndo ikawa nafuu kwake.
Huwezi amini mpaka leo kawa km ndugu na maisha yake yako good tu.
Hata watoto wetu jamani tukikaa nao ukasikia anasema kuna mwanafunzi hana akili ama ana mapungufu fulani mkanye asimcheke wala kumdhiaki.
Yaan watu wengine hawajali matatizo ya wenzao, hasa yaliyo automatically. Inaumizaa mnooo.
 
Duuuh poleee yake na nimeingiwa na huruma mnooo.

Km kweli, niunganishe nae najua jinsi ya kumsaidia. Seriously!!
Angalia na ww usije kuingia kichwa kichwa ukapoteza focus yako
Maswali
Ilikuwaje utoto wake wazazi wake walimficha wapi kivip ,je wazazi wake walimlinda muda wote hadi kufikia miaka 25 ,kuna harufu ya utapeli hapa na uongo mwingi ,
Sikata watu wanamna hyo wapo ila siyo wa huyu wa mleta mada
Vip kuhusu walimu walio mfundisha hawakujuwa

Wadogo zake walikuwa wapi

Mm nitakuwa wa mwisho kuamini story hii ni ya kusadikika sana

Nimejiuliza maswal mengi sna ila niishi hapo kukupa taadhari usje kupoteza focus yako
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas sawaaah
 
Amini kila kiumbe alichofanya Mwenyezi Mungu ni chema na ni kheri mbele zake.. J
 
Kipind naanza form one shule niliyokuwa nasoma enzi izo, palikuwa na jamaa ana tatizo ilo sema alikuwa yuko form 2 alinizidi kidato kimoja...Alikuwa anapata manyanyaso alikuwa na jinsia mbili na viungo vyote vya uzazi kama watu wanavyosema.

Finally,alikuwa njema darasani sana ila alikuja kuacha shule sijajua aliendea wapi? ila form three hakwenda ..Kuna kipind mother wake alikuwa anakuja shule kushtaki jinsi mwanae anavyozodolewa na wenzie mpaka kweny school baraza tukiwa tunataka kufunga shule ishu iliongelewa.

Nimekumbuka mbali sana .
Watu weusi bado tuna safari ndefu sana.
Ni kama ambavyo watu wanavyo handle watoto wanaokojoa kitandani kwa mijeledi na udhalilishaji..kidogo sasa wameanza kujua ni tatizo la kiafya.
Kazi kwelikweli.
 
Huyo ni futunura jina lao sahihi na sio wakwanza na anapaswa asijiweke kwenye kundi la watu wenye fikra finyu kwani huwenda ikawa ni moja ya athari za maisha yake, Ila inapaswa achague ni jinsia ipi ayotaka aitumie maishani kisha anaweza fanyiwa sagery za maumbile na asalie kwenye asili moja.

ANGALIZO: Asijaribu kuzitumia jinsia zote kwenye hisia kimapenzi anahitajika kuwa ni Ke au Me ila Me walikua wanakufa sana wakati wa huduma ya matibabu hapo ndipo ilipatikana njia sahihi ya kutatua tatizo na wakapatikana wale shemales kwani si mnawafahamu au?
 
Back
Top Bottom