DolphinT
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 2,367
- 3,457
Ni vyema sana ukafanya hivyo katika pita pita zangu mitandaoni nchi ya Kenya imepiga hatua kubwa sana katika kuwatambua watu hawa (, transgender etc n) na kufikia hatua ya kutenga Siku Yao maalumuNna rafiki angu yupo km huyo anaezungumzia mtoa mada, kamaliza UDSM 2020. Now yuko Nairobi anaishi huko.
Hata huyu ntampa namna ya at least ajisikie furahaa na amani.
Hii imewajengea kujiamini na kujitokeza na kuamini kuwa wao nao ni binadamu na kilichojitokeza na mpango tu wa Mungu kimaumbile!
Tanzania bado hii Iko chini sana na hawa watu wapo tena kwa idadi kubwa tu sema namna ya kujitokeza katika jamii ambayo haijaelimika na kujua kuwa kuna binadamu wa Aina Hiyo inakua ngumu! Wanaishia kujificha na kuishi maisha ya wasi
wasi mwingi!
Kama waziri husika anasoma hapa akajifunze Kenya wamefanyaje..
Mkuu kama una nafasi na unawiwa kumsaidia tafadhali fanya hivyo.
."