Kijana mwenye jinsia mbili

Kijana mwenye jinsia mbili

Tafuta
Ninacchojua kuhusu shemale ni mtu mwanaume alieamua kufanya sagary ya kubadili viungo Kama kuotesha maziwa kwa sindano na kuongeza makalio kutunza nywele na kufanya kila kitu anachostahili kuwana nacho mwanamke Ila kwa kesi ya jamaa yetu hapa inaonekana kazaliwa ivyo so nastaajabu kuona mtu anaweza kuzaliwa na jinsia mbili mi huzania ni story tu
Tafuta maarifa sana usiendelee kudhani! Dunia Ina mambo makubwa beyond unachowaza
 
Kwanza mshukuru Mungu kwa kuwa mzima bila kasoro yoyote kama ulivyo, sasa twende kwenye mada.

Kuna kijana mmoja tulikutana kwenye group moja la Dini, baada ya mimi kushusha nondo flani na makala zilizoshiba kuhusu imani na changamoto tulizonazo.

Kijana akaja inbox na ikawa mazoea kunitafuta na kuomba ushauri tu wa kiimani, ila baadae alinifungukia "Kaka maisha yangu siyaelewi nahisi nilizaliwa huku Duniani bahati mbaya. Kaka mimi sio mwanaume kama ninavyojiweka wala sio mwanamke". Nilishtuka sana kisha nikamuuliza kwanini unasema hivyo?

"Kaka mimi nina uume kama mwanaume na uke kama mwanamke na hii siri anayo baba na mama tu. Napata shida sana kujua mimi ni nani, na Dunia itanitambuaje. Natamani sana nife mapema nichoka upweke nilionao. Nimechoka sana kaka na ."

Nilimpa pole na kuanza kumuuliza maswali kadhaa kuhusu mwili wake, anapata hedhi kama mwanamke, uume haupo imara sana, anajihisi zaidi mwanamke ila tayari wazazi walimtambulishaga kama mwanaume.

Anatamani zaidi wanaume kimapenzi kuliko wanawake, hivyo anashindwa kujielewa ni upande upi sahihi?

Akaniuliza tena, "Je, nikienda kwa mwanaume sitaitwa shoga na kudharauliwa na kuwa mlaaniwa mbele za Mungu na hata wanadamu. Je sitatengwa? Na je, nikaamua kuwa na mwanamke kwanza ni mwanamke gani atanikubali? Je, sitaitwa msagaji na kuwa mlaaniwa mbele za Mungu na mbele za wanadamu?"

"Kaka nachukia sana maisha yangu, nachukia sana kuzaliwa kwangu Duniani, nimevumilia sana. Nina miaka 25 sasa siijui hatima, naona wivu sana wengine walivyo huru kuoa na kuoana angali mimi hiyo siyo haki yangu wala sifai kuwa miongoni, nishauri nifanyeje?"

Nisaidieni nimshauri nini, alinitumia picha ya jinsia zake pia, nilizifuta baada ya kushindwa kuamini na kuwa mbishi?!
haiwezekani kuwa na viungo 2 na vyote vifanye kazi huo ni uongo
 
Ninacchojua kuhusu shemale ni mtu mwanaume alieamua kufanya sagary ya kubadili viungo Kama kuotesha maziwa kwa sindano na kuongeza makalio kutunza nywele na kufanya kila kitu anachostahili kuwana nacho mwanamke Ila kwa kesi ya jamaa yetu hapa inaonekana kazaliwa ivyo so nastaajabu kuona mtu anaweza kuzaliwa na jinsia mbili mi huzania ni story tu
Huyo ni transgender, shemale anayezaliwa na jinsia 2.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan Tanzania mtu mwenye matatizo ya hormone, hasa me kuwa km ke, atanyanyaswa na kutengwa mwshoe anaangukia ktk Gayism.

Mtu mwenye jinsia 2 ndo kabisaaa, yaan anaonekana km kiumbe wa ajabu, inatakiwa Elimu ya ujinsia itolewe kwa jamii.
Hakuna cha tatizo la hormones. Yaani mtu afirwe aseme ni tatizo la hormones? Kuna hormones gani zinamtaka awe anafirwa? Niambie tatizo la hormones kwa mwanamke au mwanaume anayependa sana kutiana. But kuingiziwa kitu sehemu ya haja ni hormones gani zinahusika?
 
Maudhui ya picha hii ni kwa lengo la kufikisha ujumbe kwa usahihi kwa wale wote wasio na ufahamu juu la binadamu mwenye maumbile (Jinsia Mbili)
EA5457DA-CEFB-4205-98A3-0C7A4F201D68.jpeg

Angalizo: Picha ikikukwaza usije ukatoa lugha chafu kwakua nimeiweka kwa lengo moja tu la kuelewesha jamii juu ya mada husika ya kijana mwenye maumbile(jinsia Mbili)
 
Maudhui ya picha hii ni kwa lengo la kufikisha ujumbe kwa usahihi kwa wale wote wasio na ufahamu juu la binadamu mwenye maumbile (Jinsia Mbili)
View attachment 2451675
Angalizo: Picha ikikukwaza usije ukatoa lugha chafu kwakua nimeiweka kwa lengo moja tu la kuelewesha jamii juu ya mada husika ya kijana mwenye maumbile(jinsia Mbili)
weka picha halisia mkuu
Ulichoweka Ni picha za kutengeneza uko mitandaoni. Lengo wote hapa Ni kujifunza.

kwa Sasa anayejulikana anasehemu mbili kiuhalisia Ni mdada mmoja Yuko south Korea, na ukiingia Google utazikuta MuDA wowote unaotaka japo sura yake halisia hawaoineshi.

ila nae alipokuja kupimwa ikaonekana yule Ni mwanamke pure na ile Ni enlongated clit (kisimi kirefu zaidi) sio uume na picha zake halisia ni hizi Hapa chini

(Mods mtanisamehe, nmelazimika kuziweka Ni kuelimisha na sio vinginevyo)

images-1111.jpg
images-1112.jpg
images-1113.jpg
images-1114.jpg
images-1115.jpg
images-1116.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo elimu (creation of awareness) na kuwatambua transgender ni muhimu sana kwani sio kupenda kwao Bali ni maumbile
Transgender au shemale ni wanaume mashoga walioamua kuotesha matiti na matackle na kutumia hormone za kike ili wawe kama wanawake lakini ni mashoga.
Jinsia mbili hiyo ni kesi tofauti kabisa japo siku hizi nchi za wenzetu wanafanya operation wanatoa mb** wanaweka uke ukishasema trans__ inamaana kabadilisha matokeo ya awali sio natural ni shoga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom