Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,344
- 3,020
Njoo bhanaPM kuna nn?
Njoo bhanaPM kuna nn?
Njoo wee!!Njoo bhana
Ni mkristo anapenda Dini sana je ndoa itafungwa ili usiwe uasherati ?.Kama amekubali jinsia ya kike nipe nambake instead kupata tabu mtu kumtongoza then akaona alivyo na kumshangaa nk nipo hapa ku date nae
Na ww kwann hukusema siku zote kuwa una tatizo kama hili watu waache kukutukana humu ndani?Sasa jamii au watu ndo hawataki hata kuelewaaa, yaan sijui hata nn kifanyikeee.
Yes nipo tayari nitamfeel as mwanamke chamsingi mengine tutajua na kufahamiana zaidi InboxNi mkristo anapenda Dini sana je ndoa itafungwa ili usiwe uasherati ?.
Je wewe utafeel unatoka na mwanamke au unatoka na shoga?? Je ni kweli upo tayari kumpokea alivo na hautakaa umtamkie maneno mabaya kuhusu maumbile yake ?
Maana ana moyo dhaifu sana kuvumilia na kubeba hili
Simple kabisaMwambie nipo tayari kumsitiri.
Poa akikubali nikupe contact zakeYes nipo tayari nitamfeel as mwanamke chamsingi mengine tutajua na kufahamiana zaidi Inbox
Usifanye hivyo at least huyo kuliko huyu anayechanganyikiwaHeri yako wewe unazo mbili ,una option ya kuchagua moja ila kuna mwenzako hana hata hiyo moja.
Je anaomba zile siku za mwezi?Kwanza mshukuru Mungu kwa kuwa mzima bila kasoro yoyote kama ulivyo, sasa twende kwenye mada.
Kuna kijana mmoja tulikutana kwenye group moja la Dini, baada ya mimi kushusha nondo flani na makala zilizoshiba kuhusu imani na changamoto tulizonazo.
Kijana akaja inbox na ikawa mazoea kunitafuta na kuomba ushauri tu wa kiimani, ila baadae alinifungukia "Kaka maisha yangu siyaelewi nahisi nilizaliwa huku Duniani bahati mbaya. Kaka mimi sio mwanaume kama ninavyojiweka wala sio mwanamke". Nilishtuka sana kisha nikamuuliza kwanini unasema hivyo?
"Kaka mimi nina uume kama mwanaume na uke kama mwanamke na hii siri anayo baba na mama tu. Napata shida sana kujua mimi ni nani, na Dunia itanitambuaje. Natamani sana nife mapema nichoka upweke nilionao. Nimechoka sana kaka na."
Nilimpa pole na kuanza kumuuliza maswali kadhaa kuhusu mwili wake, anapata hedhi kama mwanamke, uume haupo imara sana, anajihisi zaidi mwanamke ila tayari wazazi walimtambulishaga kama mwanaume.
Anatamani zaidi wanaume kimapenzi kuliko wanawake, hivyo anashindwa kujielewa ni upande upi sahihi?
Akaniuliza tena, "Je, nikienda kwa mwanaume sitaitwa shoga na kudharauliwa na kuwa mlaaniwa mbele za Mungu na hata wanadamu. Je sitatengwa? Na je, nikaamua kuwa na mwanamke kwanza ni mwanamke gani atanikubali? Je, sitaitwa msagaji na kuwa mlaaniwa mbele za Mungu na mbele za wanadamu?"
"Kaka nachukia sana maisha yangu, nachukia sana kuzaliwa kwangu Duniani, nimevumilia sana. Nina miaka 25 sasa siijui hatima, naona wivu sana wengine walivyo huru kuoa na kuoana angali mimi hiyo siyo haki yangu wala sifai kuwa miongoni, nishauri nifanyeje?"
Nisaidieni nimshauri nini, alinitumia picha ya jinsia zake pia, nilizifuta baada ya kushindwa kuamini na kuwa mbishi?!
Shida inakuja pale maumbile ya kike kama maziwa Hana ila ana ndevu kama mwanaume ila jinsia ya kike ndo iko more active.Nimewahi ona na kuambiwa kuwa chizi anayefurahisha hatoki kwenye familia yenu.
Huyu kijana anapitia magumu sana, suala la kumsaidia hapo ni kwamba afuatane na hisia kali za mwili wake, kisha ahame mji au eneo ambalo watu wanamjua.
Huko aende akiwa muhusika wa Moja kwa moja na jinsia ambayo humletea hisia.
Akiwa na akiba ya mavazi na mahitaji yote muhimu ya jinsia yake ya pili.
Wazazi wamsaidie ktk hili
Anaweza kuondolewa moja ila athari zake ni mbaya pia kwa kubaki na hiyo mojaNauliza hawezi kufanyiwa sajeri kuondoa moja abaki na moja yenye nguvu?
Kuwa na jinsia mbili ni hitilafu ya kimaumbile wakati wa uumbaji, sasa Kama hao shemale wanafanya ngono kwa njia ya aja kubwa kama hawa niliogoogle nikawaona ni matapeli maana hawana jinsia mbili wanatumia kinyeo kufanya ngono. MASHOGA HAYO. Ni tofauti kabisa na case ya jinsia mbili.Huyo ni futunura jina lao sahihi na sio wakwanza na anapaswa asijiweke kwenye kundi la watu wenye fikra finyu kwani huwenda ikawa ni moja ya athari za maisha yake, Ila inapaswa achague ni jinsia ipi ayotaka aitumie maishani kisha anaweza fanyiwa sagery za maumbile na asalie kwenye asili moja.
ANGALIZO: Asijaribu kuzitumia jinsia zote kwenye hisia kimapenzi anahitajika kuwa ni Ke au Me ila Me walikua wanakufa sana wakati wa huduma ya matibabu hapo ndipo ilipatikana njia sahihi ya kutatua tatizo na wakapatikana wale shemales kwani si mnawafahamu au?