Kijana mwenye jinsia mbili

Kijana mwenye jinsia mbili

Kama ana mzunguko wa hedhi ni simple tu.
Afuate hisia za mwili wake,lakini kabla ya hapo ashamed aende mbali akiwa na mavazi ya jinsia anayoitaka. Akaishi huko kwa muda,atazoea na atajengwa kisaikolojia na kuwa huru.
Haya mambo yapo hata mwanamke mmoja ana watoto hadi wajukuu hivyo hutokea atulie tu.

Nadhani wengi tunaweza kumsaidia lakini mtu mhimu kwake wa kwanza kumsaidia ni wewe mwenyewe.
 
Yaan Tanzania mtu mwenye matatizo ya hormone, hasa me kuwa km ke, atanyanyaswa na kutengwa mwshoe anaangukia ktk Gayism.

Mtu mwenye jinsia 2 ndo kabisaaa, yaan anaonekana km kiumbe wa ajabu, inatakiwa Elimu ya ujinsia itolewe kwa jamii.
Hii imekaaje aloo mi naona kama story. Sorry lkn na Kama ni kweli hii kimaumbile huwa na Hali gani ktk jinsia au ndo inategemea hisia zitakuwa wapi
 
Nna rafiki angu yupo km huyo anaezungumzia mtoa mada, kamaliza UDSM 2020. Now yuko Nairobi anaishi huko.

Hata huyu ntampa namna ya at least ajisikie furahaa na amani.
Na Kuna Hawa wanaitwa shemale huenda wakawa Kama huyu au shemale ni watu wanaobadili jinsia kwa matakwa yao
 
Huyu ndo shemale.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninacchojua kuhusu shemale ni mtu mwanaume alieamua kufanya sagary ya kubadili viungo Kama kuotesha maziwa kwa sindano na kuongeza makalio kutunza nywele na kufanya kila kitu anachostahili kuwana nacho mwanamke Ila kwa kesi ya jamaa yetu hapa inaonekana kazaliwa ivyo so nastaajabu kuona mtu anaweza kuzaliwa na jinsia mbili mi huzania ni story tu
 
Kama ana mzunguko wa hedhi ni simple tu.
Afuate hisia za mwili wake,lakini kabla ya hapo ashamed aende mbali akiwa na mavazi ya jinsia anayoitaka. Akaishi huko kwa muda,atazoea na atajengwa kisaikolojia na kuwa huru.
Haya mambo yapo hata mwanamke mmoja ana watoto hadi wajukuu hivyo hutokea atulie tu.

Nadhani wengi tunaweza kumsaidia lakini mtu mhimu kwake wa kwanza kumsaidia ni wewe mwenyewe.
Bado changamoto ipo tu sema Mungu amasaidie.
alikuwa anaitwa musa anakojoa amesimama na sasa ataitwa mwanahamisi na vyeti vyake itakuwaje..
Vipi kwenda kuwasalimia wazazi wake... Ataenda kwa jinsia ya zaman alivyozoeleka au mpya... Nadhani hatakuwa huru bado..

BINAFSI NASHAURI AJITANGEZE AKIWA PALE ALIPO KUWA ANAJINSIA MBILI NA AAMUE KUFANTA ILE ANAYOTAKA...
NA AANZISHE MOVEMENT YA WAO KUTAMBULIKA.. MAANA WATU WA HIVYO WAPO NA WANASHINDWA KIJITOKEZA NA WANAKAA NA DIMWI LA DEPRESSION.
 
Yaan Tanzania mtu mwenye matatizo ya hormone, hasa me kuwa km ke, atanyanyaswa na kutengwa mwshoe anaangukia ktk Gayism.

Mtu mwenye jinsia 2 ndo kabisaaa, yaan anaonekana km kiumbe wa ajabu, inatakiwa Elimu ya ujinsia itolewe kwa jamii.
Watz wengi ni mandezi Sana!
 
Ni vyema sana ukafanya hivyo katika pita pita zangu mitandaoni nchi ya Kenya imepiga hatua kubwa sana katika kuwatambua watu hawa (, transgender etc n) na kufikia hatua ya kutenga Siku Yao maalumu

Hii imewajengea kujiamini na kujitokeza na kuamini kuwa wao nao ni binadamu na kilichojitokeza na mpango tu wa Mungu kimaumbile!

Tanzania bado hii Iko chini sana na hawa watu wapo tena kwa idadi kubwa tu sema namna ya kujitokeza katika jamii ambayo haijaelimika na kujua kuwa kuna binadamu wa Aina Hiyo inakua ngumu! Wanaishia kujificha na kuishi maisha ya wasi
wasi mwingi!
Kama waziri husika anasoma hapa akajifunze Kenya wamefanyaje..

Mkuu kama una nafasi na unawiwa kumsaidia tafadhali fanya hivyo.

Tz ushamba mwingi!
 
Sasa jamii au watu ndo hawataki hata kuelewaaa, yaan sijui hata nn kifanyikeee.

Jamii inawatambua na kuwaelewa haemaphrodite lakini jamii haiwaelewi homosexuals
Hata mimi nawatambua hamaphodite lakini siwaelewi mashoga
 
Nina mtu namjua pia ana Hali hiyo, alikuwa kama mwanamke kumbe ni kidume, aliwapelekea moto wadada akashitukiwa akahama mji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom