Kijana Masikini nimeamua kuimba SINGELI sasa pengine nitatoboa

Oyaa sikia.. wapi mwanangu dosho12 salimia sana mwanangu Harmful oya we Harmful salimia sana mwanangu Noma, Noma.. Nomadix

Awee shem langu Ms R salimia sana mtotomzuriwa kuitwa waifu material mwambie hii hapa sauti Ya Kijana Masikini a.k.a Mui........mba SINGELI.
Kijana Masikini unahangaika sana 😂😂
 
Oyaa sikia.. wapi mwanangu dosho12 salimia sana mwanangu Harmful oya we Harmful salimia sana mwanangu Noma, Noma.. Nomadix

Awee shem langu Ms R salimia sana mtotomzuriwa kuitwa waifu material mwambie hii hapa sauti Ya Kijana Masikini a.k.a Mui........mba SINGELI.
Lazima utoboe.Wewe hata ukitingisha mabega tu bila kutamka neno lolote,wanao wote lazima watimbe kwenye shoo zako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom