Kijana leo umeyateka Magazeti yote huko.

Kijana leo umeyateka Magazeti yote huko.

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,249
e.jpg
 
Nilikuwa hapa UDSM kwenye magazeti, maprofesa wakawa wanamponda January kwa kusema kwamba huwezi kugombea urais kwa kubebwa na viongozi wachache wa TAHLISO! Wanasema jamaa aliwanunulia viongozi wa TAHLISO simu kibao za mkononi!
 
Makamba will never ever be Tanzania president, mark my word, kubebwa bebwa tuu
 
Kazi ipo sana kwa mtindo huu Ngoja tuone itakuwaje.
 
nilisikia wakati anahojiwa BBC Swahili na Salim Kikeke......mh ngoja tuone...
 
Go January,tumechoka na wazee wapo kweny uwaziri muda mrefu wengine hata kabla sijazaliwa,and hakuna jipya.Tunataka damu mpyaaaaa
 
amejipanga? .......ma bigpopa wanamuangalia tu....ngoja tusubiri na wengi waseme
 
hivi umri ndio karata pekee ya urais hapa tz? nakumbuka wakati jk anawania pia tuliaminishwa ni kijana!:A S wink:
 
Unaonaje ukibadilisha mawazo usiwape wote tu?

Imani kwa Dr Slaa ni kubwa kuliko kwa JM.

Kiongozi bora kabisa kwa sasa Tanzania ni John Mnyika, ila sijasikia kama atagombea so kwa sasa nawaaminia hao wawili
 
Watu wengine hawapendi kuishi maisha mengi, we ngoja utasikia amekufa kwa ajali au amejipiga risasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom