Kijana umemaliza zako chuo ukapata ajira (msahara hauzid 1m) basi ukafanikiwa kupata ki-mkopo kisichozd 14m kisha unajitesa eti unaenda kununua kiwanja ili ujenge nyumba hv niulize utajenga chumba ama nyumba na 14m? achen mawazo ya kimaskini hiyo hela iingize kwenye biznes uzichange kwanza
plagiarism is intellectual dishonest
Ina maana jamaa amecut na kupaste ile mada ya kipindi kile?
hayo ni mawazo yangu na wala hujalazimishwa kuyafuata. ni ushauri tu. zaidi mupunguze mizinga ofisin kisa unajenga!!!
wewe inaonesha roho inakuuma sana wenzio wakijenga..... ukipigwa mzinga ni hiyari yako kutoa au kutokutoa jombaaa