Kijana, kujenga nyumba ni uoga wa maisha

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
6,978
8,481
Kijana umemaliza zako chuo ukapata ajira (mshahara hauzid 1m) basi ukafanikiwa kupata ki-mkopo kisichozidi 14m kisha unajitesa eti unaenda kununua kiwanja ili ujenge nyumba. Hivi niulize, utajenga chumba ama nyumba na 14m?

Acheni mawazo ya kimaskini, hiyo hela iingize kwenye biashara uzichange kwanza.
 
Tusifundishane maisha kila mtu ana design yake wengine wana maliza vyuo wana panga chumba kimoja sinza wana ajiriwa benki wananunua magari wanapaki ccm, nao wanaomba hela huku ofisini kama nini, wengine wakikopa hela wanakesha baa mpaka wanaliwa kabang, kwa hiyo ni uhuri binafsi Mungu akituweka hai tutakutana uzeeeni kwa sasa uhuru binafsi ruksa.
 
Kijana umemaliza zako chuo ukapata ajira (msahara hauzid 1m) basi ukafanikiwa kupata ki-mkopo kisichozd 14m kisha unajitesa eti unaenda kununua kiwanja ili ujenge nyumba hv niulize utajenga chumba ama nyumba na 14m? achen mawazo ya kimaskini hiyo hela iingize kwenye biznes uzichange kwanza

plagiarism is intellectual dishonest
 
hayo ni mawazo yangu na wala hujalazimishwa kuyafuata. ni ushauri tu. zaidi mupunguze mizinga ofisin kisa unajenga!!!
 
Ukianza kazi mpaka uanze kufikiria kujenga nyumbà ipite miaka 5 ndo unaanza kujipanga.
 
36 Reactions
Reply
Back
Top Bottom