Hoja yako ni ya ovyo na mfu , nani kwakwambia mtu akiwa hajaoa ndio anakuwa mhasherati ?Kwa hiyo unataka kusemaje,tuhalalishe umalaya bcoz alizaliwa bikra,
Kijana Mwanaume shababi anaoa,amilikiwe na anatengeneza jina la ukoo wake
Oa achana na kampeni za kishoga
Wewe ni nani mpaka utoe hiyo judgement yako ?
Na umefanya hiyo research yako kwa watu gani ?
Na unaweza toa hapa findings za huo utafiti wako tuujadili ?
Au ndio kuandika tu hoja mfu ilimradi kujustify norms , kama ni kujustify norms ukae ukijua kuna jamii cannibalism au kula nyama za watu ilikuwa ni utamaduni na watu walikula nyama za watu na hakuna aliyeshangaa enzi hizo
Nakuuliza wewe , je wewe leo hii unaweza kula nyama ya mtu ?