Nimeshangaa sana hio heading. Waambie mods wabadilishe, isomeke 'Kiwanja' na sio 'Kijana'.Ati kijana kinauzwa?
Cubic Meter tena !! Apana leo nimechekaaa sanaa !!
kiwanja kizuri sana KINAUZWA maeneo ya mbezi beach tangibov karibu NA kanisa la Lutheran neo ni jk nyerere. kimepimwa kabisa NA hatimiliki za kiwanja zipo. NA unaweza kwenda wizara ya ardhi kufatilia.
cubic meter 387
price 200m
mita 20 kwa 16.
kiwanja kina nyumba kabisa.
tuwasiliane.
0713507487
0767507487
0782898210
Duuh hii inayo kali,jamaa kapima hadi volume!
Cubic metre 387, meter 20 kwa 16.........
Yaani ni hatari ... uref x upana x kimo.....hapo kwenye kimo ( h) sijui kaipataje I can't imagine..... nimecheka hadi nikalia.....