Kiwanja kinauzwa(Tuangoma Masaki)

MMOJA

JF-Expert Member
Aug 30, 2012
437
250
Kiwanja kinauzwa, kipo Tua ngoma masaki, hakipo mbali na stendi mpya ya daladala TUANGOMA , Kipo kipo kwenye flat land unaanza na kujenga tu, wala uhitaji gharama za kusawazisha ardhi, ni kiwanja kwa ajili ya makazi, umeme na maji pia vipo maeneo haya

Kiwanja kimepimwa na kina hatimiliki, kina ukubwa wa square meter 1,395, Offer yake milioni 20

Kwa mawasiliano 0714465105
 
kzba

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
1,355
2,000
Habari wakuu,

Humu ndani kuna wajuzi wengi wa magari hivyo naamini mtatoa ufafanuzi wa kina kuhusu haya magari ya aina mbili.

1. Nahitaji kufahamu stability nacomfortability ya Subaru Legacy B4 na Audi A4.

2. Kuhusu matumizi ya mafuta, gari ipi hapo inatumia mafuta kidogo?

3. Gari ipi hapo service yake si gharama sana?

4. Gari ipi spare zake zinapatikana kwa urahisi zaidi?

5. Gari ipi spare zake ni imara ambapo ukifunga ni mkataba?

6. Mwisho, gari ipi hapo si ndoa ya kikristo? kiasi kwamba nikitaka kuuza naweza kuuza kwa urahisi

Karibuni wakuu
Aud kaka niko na hilo chuma La 2006 Rs sport wese kisoda speed 260 automanual dadadeki haya mashipa yote ya kijapani nayajambia tu mzee kuhusu service na spare available sema mi halijawhi kuharibika ila seevice kawaida tu.

Milioni nane hii hapa fasta tufanye biashara
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom