Kijana: Kama upo kwenye mahusiano, hakikisha una "marafiki" wengine angalau watatu nje

Ee
Hili wazaramo tulishaliona siku nyingi ndo maana tunafundwa mafiga matatu ndoo na kidumu...ndoo ikimwagika kidumu kitasaidia hata kuosha miguu ulale.
Na ndo huwezi kukuta mzaramo kajinyonga kisa mapenzi...
Wewe sio mzaramo, acha kupotosha.
 
Tofauti niliyoina katika ujumbe wako ni harufu ya uzinzi! Lakini nimenusa harufu ya kuwaambia walioowa waowe mpaka wanne (kama hali ya uchumi na afya inaruhusu ili yasiwakute hayo bali wapate confidence
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…