Kijana: Kama upo kwenye mahusiano, hakikisha una "marafiki" wengine angalau watatu nje

Ulichosema ni ukweli mtupu, mwanamke akiwa your only provider of sex lazima atake kukutawala tofauti akijua nje kuna ushindani, heshima fulani inakuwepo.

Nawashangaa wanawake wanaokupinga wakati wanaujua huu ukweli, mfano rahisi ni mrembo yeyote mwenye jina kwenye hii forum( MMU), utakuta PM yake imejaa mitongozo na bado kitaa, that's what we call having options na inakupa kakiburi fulani au confidence kwenye mahusiano coz unajua huyu akizungua kuna wengine kwenye foleni kwa iyo hauna cha kupoteza.
 
Kwahio unamaanisha ukiwa na mke mna migogoro ya kukuona wewe sio muaminifu ndio vizuri?

Halafu umuoneshe kua wewe sio muaminifu akae tu ka boya anakusubiri ukamalize mambo yako.Jua na yeye ataanza kukupiga matukio tu mwisho mnaachana.
 
Kwahio unamaanisha ukiwa na mke mna migogoro ya kukuona wewe sio muaminifu ndio mazuri?

Halafu umuoneshe kua wewe sio muaminifu akae tu ka boya anakusubiri ukamalize mambo yako.Jua na yeye ataanza kukupiga matukio tu mwishi mnaachana.
Kifupi hi mbinu inafanya kazi kwa demu mgeni mgeni wa mapenzi ila demu ambalo lishaumizwa umizwa likiona hueleweki ukimwaga mboga linamwaga ugali...

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Sio lazima uwe unatembea nao kingono, ila at any time T hakikisha una wanawake angalau watatu warembo "standby", ambao una mawasiliano nao ya karibu. Ukiweza kuwa unawatafuna ni added advantage.

Hii itakusaidia sana kudumisha mahusiano yako ya SASA kwa njia zifuatazo:

1. Itakujengea komfidens ya kuishi na mpenzi wako. Unapokua na wanawake wengine, hata kama huwatafuni lakini inakupa moyo fulani kwamba hata huyu nilie nae akizingua au akiniacha poa tu, kuna wengine wengi. Hii itabadilisha kabisa maamuzi unayofanya na jinsi unavyom handle mpenzi wako na itakuepusha kufanya mambo mengi ya kiboya. Mathalan, itakuondolea kabisa tabia ya kumlilia lilia mpenzi wako na kumnyenyekea kifala na hata akikupiga chini ni nadra wewe kuumia sana na kuja kulia lia JF nk achilia mbali kujinyonga.

2. Mpenzi wako atakupenda zaidi akijua/akihisi una wanawake wengine unawasiliana nao! Akili za wanawake wanazijua wenyewe. Wanawake wanaamini kwamba mwanaume anaependwa na wanawake wengine huyo ndio mwanaume hasa! Thamani yako kwake inashuka sana akigundua huna mwanamke mwingine yeyote yule zaidi yake!

3. Itapunguza sana migogoro kati yako na mpenzi wako. Mara nyingi unapokua na mpenzi mmoja tu kama roho, hata kosa dogo sana linaweza kukuzwa na kuwa kubwa na kwavile huna pa kupumulia mnajikuta mnagombana sana mara kwa mara. Ukiwa nao wengi, utashangaa vitu vidogo vidogo unapuuzia tu na maisha yanaendelea. Mfano ukinyimwa gemu wala hauta mind, tena ndio unashukuru maana kwanza unakua umechoka. Ukituma msg asipojibu wala sio ishu maana hapo una watu wengine watatu unawasiliana nao.

4. Inasaidia ku balance attention yako kwa mpenzi wako. Twende mbele turudi nyuma, japokua wanawake hua wanadai wanapenda attention, ila kiukweli ukiwapa sana attention wanakuona boya tu! Mwanamke akishakuona mda wote wewe unamuwaza yeye tu, unachat nayeye tu, mda wowote akikuhitaji upo tu, anakuona lofa tu na anaanza kukuchoka.

5. Inaimarisha tendo la ndoa! Amini usiamini hakuna kitu kinaua "vaibu" kama kua na mwanamke mmoja tu. Kuna kitu wazungu wanaita "sexual monotony" yaani ile hali ya kukinai ku sex na mtu huyohuyo kila siku. Ukiwa na kitu ya pembeni, utashangaa unaimarika hata kwa huyu wa sasa maana ukienda nje ukija kurudi ndani inakua mpya na gemu linakolea hatar.

6. Inakupunguzia gharama! Ukiwa na ka mwanamke kamoja tu, hukawii kujikuta unaanza kuwaza kukafanyia mambo (ya kifala) makubwa kama kukajengea nyumba, kukanunulia gari, kulipa kodi, ada nk! Kiasi kwamba siku huyo mwanamke akikupiga chini lazima udate ukiwaza uwekezaji uliofanya. Ukiwa nao watatu - wanne, utajikuta unawaza kijanja "hivi kila mmoja akitaka nimjengee nyumba/gari/ada itakuaje?" Utajikuta unafutilia mbali hayo mawazo ya kifala.

NB: Hata kama huna mwanamke nje, tengeneza mazingira ya kumfanya mpenzi wako AHISI kwamba unae. Mfano, potea ghafla hewani kwa muda mrefu, weka simu yako ma passwedi, ma fingerprint nk. Ukipigiwa simu hata na mshkaji, kaongelee nje. Ukiwa ofisini sema uko home and vice versa ili akija asikukute ahisi upo na mwanamke. Yaani kifupi kuwa mtu usieeleweka eleweka! Utapendwa balaa !!
Nao ushauri kk
 
Nakubaliana na wewe kwa kias kikubwa as long as nimeshaipitia hiyo experience kuwa na demu mmoja ni Jau bro pia sio lazma umfeel sana take it easy as long as yy anakuelewa.. ikitokea unadate mdada unamlilia lilia hua anaona huna options na atakuacha

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Well noted,

Jifunze ata kwa majogoo ya kuku, yana mademu kibao kuku jike yaani
Swala yeye hutembea na majike 30 yeye ni kuwagonga tu sema lazima atafute kwanza malisho wawe wanakula.
Kiukweli jamaa nimemkubali Sana hata mentally unakuwa very very strong. Huku jamaa anajiliza kuwa hapendwi wewe inakuwa na options kibao. Huweiz kuwa na mademu Kama watano siku unataka kubadili wote wakazingua.
 
Naunga mkono hoja. Fikiria katika football kusingekuwa na wale wachezaji wa ziada yaani wakaa bench, hata first eleven wangekuwa wanachukulia poa na kutojituma uwanjani.

Mahusiano mazuri sio ya Kijamaa bali yenye elements za kibepari.
 
Umesema ukweli usiokubalika lkn uo ndo ukweli wenyew ndy maana kufuli ikifunguliwa na kila funguo iyo haifai lakn funguo ikifungua kila kufuli iyo ndo nzur inaweza saidia siku nyingne
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom