2018
JF-Expert Member
- Jan 1, 2018
- 546
- 778
Heshima kwenu
Ni kijana wa miaka 25+ ,nilifundishwa kubeti mwishoni mwa mwaka 2014 Kama Sio mwanzoni mwa mwaka 2015 nikiwa mwaka wa kwanza chuo kikuu Cha dar es salaam ( mlimani).
Kabla sijajifunza kubeti nilikua kijana mwenye akili iliyotulia,mipango inayotekelezeka na mwenye future nzuri na yenye tumaini.
Lakini kadri niliyokua nikipata experience katika kubeti ndivyo nilivyoanza kupoteza uelekeo kwa kureplace akili niliyobarikiwa na Mungu with akili ya kamari ( kufanikiwa within a night)
Sitoelezea Sana Ila ieleweke tuu kwamba kubeti kumeniharibia,kutokana na kubeti mfululizo ndani ya miaka 5-4, kukiambatana na stress za Hali ya juu huku timu moja ikichana mkeka na kupoteza fedha nyingi ambazo Kama ningezikusanya ningefanya mtaji wa shughuli nyinginezo Mimi nilibetia.
Leo hii tarehe 28/12/2019 nimeamua kuachana rasmi na masuala ya kubeti.
Lengo la kuandika huu Uzi ni kuwafikishia ujumbe vijana wenzangu kua wanapoteza muda katika kubeti unless wawe wanafanya Kama starehe tuu Ila Kama wanamalengo ya kutoboa kupitia betting Basi wajue wanapoteza muda
Najua wengi watabeza hatua hii lakini in the long run of successive betting watakuja kukubali kua wanapoteza pesa na muda,ni Bora huo muda wangetumia kufanya shughuli zingine za kimaendeleo kuliko kubeti
Sent using tecno pop 2 plus
Aloo addiction haikimbiwiii,ngoja nijaribu kubet kistaarabu tuu,maana kuacha betting nmeshindwa.
Nimefanikiwa kuacha kabisa.Namshukuru Jah amenisaidia