Kudai madeni ni ajira gani tena hiyo FMES? Historia huwa inaandikwa bila kujaribu kubadili, kuondoa au kurekebisha chochote. Mazuri ya Mzee wetu huyu yaandikwe kama alivyoyafanya mwenyewe na mabaya sawia. Kama ni movie unataka kutengeneza juu ya Mzee wetu sawa. Hizi zinakuwa na uongo mwingi tu.- Hujui histioria mkuu, Mwinyi alimuomba kutoka Jumuiya ya madola na kumpeleka Canada kudai madeni ya EAC kabla ya Iringa, Wildcard mbona unataka kujivua nguo na historia usiyoijua, uliza kwanza kabla hujakurupuka, mzee hajawahi kuwa jobless never! no facts or research no rights to speak!
- Pole sana mkuu historia haindikwi na watu wanaowatwala wengine kwa mabavu, inaandikwa sasa maaana tuko huru! Historia ya Hitler inaandikwa sasa na ndio maana hata movies zake zinachezwa sasa, watu wakiwa huru!
Respect.
FMEs!