William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Ya Malecela unayakuza mwenyewe kwa kupingana hata na ukweli ulio wazi. Taabu ya kuuvaa umalecela kwa 100%.
- Sio kuvunja sheria, ila hayawasaidiii wananchi wa Tanzania, wala Mtera zaidi tu ya burudani za JF, ni taifa huru siku hizi ingekwua zamani zile enzi zenu ambazo hatukuwa na haki ya kuuvaa u-Malecela 100% kweli,
- lakini thanks to Mwinyi sasa tuko huru, kuuvaa u-Malecela 100% sio kuvunja sheria na Malecela is doing just fine na hizi kelele za mlango I love it bring it on!
FMEs!