Kijana atangaza kumng'oa Malecela Mtera

Malecela ni WM mstaafu peke yake anayeng'ang'ana na Ubunge hadi leo! Akina SAS, JSW, CDM na FTS wameridhika na mchango walioutoa na wanaoendelea kuutoa kwa namna nyingine.
 

Mhhh hapa dogo naona amekosea, haturithi bali gangamaa mwenyewe, usitumie nyota ya huyu mzee
 
Wewe si uliomba msamaha na kupeprusha bendera nyeupe hapa?

Sasa umerudi? Really unataka niku murder machete tena? Majeruhi niliyokupa

Don't make me do it, cause I overdo it.
MmmmH MmmmmH, una utani mmbaya next topic outside Jukwaa hili, i will see ya there.

Believe some of us have to dilute arguments humu ndani or else itakuwa ni things that dont make sense. Philosophical ending is not a white flag, ndio maana ukaona uje uongee pumba zako. It shows the character is feeble and simple kuna watu wakuwaogopa not you amini ukitaka lete.

Ntakusubiri elsewehere sio hapa eti 'overdo it' unafurahisha final warning do not try me, ask ya friend who ya dealing with. I'll take your credible out of the forum this is not about words as you seem to think.
 
lakini nimeombwa sana mpaka na viongozi wa juu wa taifa, ahhhgrrr Tanzania bwana kweli kuna waliotuloga sio bure!
Ukubwa dawa viongozi wa Juu wa Taifa! Raisi, Waziri Mkuu, Makamu wa Raisi, Mkuu hebu kajibu post ya Balatanda kule JF! Agggggggggggggrrrrrrrr siwezi kukubali hili too low bwa bwa bwa bwah great thinker huyu!!
 
kaaazi kweli kweli!...infwakitiii mi nimebahatika kuishi kijiji ambapo muheshimiwa malechela amezaliwa na ambapo ni ngome yake katika jimbo la mtera na pia kijana lusinde alipozaliwa!..

...kwa maoni mengi ya wananchi wa jimbo hili wanaonekana kuwa tayari kwa mabadiliko na kumpa kipaumbele kijana huyu kula shavu katika jimbo hili!.....mh malechela ni mtu anaeheshimika sana na kuogopwa sana kama mwanasiasa mkongwe na mwenye ushawishi wa hali ya juu sana ndani na nje ya chama chake..

...lakini ukweli ni kwamba hakuna marefu yasio na ncha na kila lenye mwanzo na mwisho huwepo pia!....kwa mtazamo wa hraka haraka tu, mh malechela ni boras angeachia wengine kukim,biza kijiti hicho cha jimbo hili kongwe ambalo halijawahi kuonja dhana ya mtazamo mpya tofauti na wamheshimiwa samweli!......iwe ni kijana huyo lusinde au mtu mwingine, lakini ukweli ni kwamba ni wakati sahihi kupata mawazo mapya na ari mpya pamoja na kasi mpya toka kwa mtu mwingine pia!.....si hata mm naewza eneeee?!!! natania tu wajomba ila kweli chadema ikinipa nauli ntakwenda mtera kusalimia wananchi!.

.....angalizo kwa chama cha mapinduzi.....sikieni sauti ya watu!......let dermocracy mean, the rule of the peole for the people by the people..., sijui sana kuwa hapa who are the people, but i guess here the people ni wananchi wa jimbo la mtera ambao wameshamshukuru muheshimiwa kwa kuwatumikia kwa mda mrefu na kwa sasa wapo tayari kupokea changamoto mpya za mbunge mpya ambaye wanaamini atakuja kuendeleza yale mema ya mh malechela!......
 
.
mkerwaji, kama haya usemayo ni ya kweli, mimi naunga mkono asilimia 100, Mzee ashikilie msimamo, CCM imsimamishe, kijana aende upande wa pili, ndipo tuzisikie sauti za wanaMtera.
 
Duuhh...........kwi kwi kwi kwi.........I wish you knew...........you would be lol..........kwi kwi kwi.......tena hapo sasa ndio unatuthibitishia kuwa............hayo ni "majungu/uongo"..............

Yaani wewe manneno yote yanayosemwa na viongozi sasa hivi utayakumbuka miaka 15---ijayo kuwa yalisemwa wapi saa ngapi, tarehe ngapi, n.k? na ukisahau yalisemwa wapi yatakuwa majugu??
Kuna kitu umekosea, au rudia kufikiri. Mzee Malechela ni bingwa wa Kuchemka!
 
Ok,huyu kijana tumemjadili.Vipi kuhusu huyo mgombea mwingine uliyesema anamiliki mabucha maarufu?

Hii ride ya ujana inaweza kosa maana once and for all after october election,pipo let's be carefully
 

Unajua nini Mkuu.........usitake tumwage vitu kuhusu JSM...........ni Mzee tunayemuheshimu sana...............kauli kuhusu..

1. "You can go to hell"
2. ........."jamani Uganda walituvamia tukawashughulikia.........sasa hata Burundi kweli!?.......hiki kinchi kidogo si tunakichukua mara moja tu!........."

Hizo ni kauli za Mzee JSM.........period.......kuwa zilisemwa wapi na lini......it does not make any difference...........kama wewe u karibu sana na Mheshimiwa...........utakuwa unajua ukweli wa hilo..........
 

- Unajua mchele wa Kyela kule huitwa mkyele, lakini waswahili huita ubwabwa, au? Ni haki yako kuamini au kutoamini what Malecela said or did not say ila kwa taifa haiongezi wala kupunguza anything, na hapa JF tunachotaka ni facts, na isipokuwa ni ubwabwa tu kwa wengine mchele! Bwa! ha! ha sasa ngoja niwahi soho mkuu pole sana naona recovery inakupa matatizo sana uliyataka mwenyewe, Ha! ha! ha! ha!

- Kijana mdogo eti unamuheshimu Malecela ha! ha! ha! inachekesha sana, wewe weka tu si unajuaaaa!

Respect.


FMEs!
 
Ok,huyu kijana tumemjadili.Vipi kuhusu huyo mgombea mwingine uliyesema anamiliki mabucha maarufu?

Hii ride ya ujana inaweza kosa maana once and for all after october election,pipo let's be carefully

- Mkuu wangu Ben, huyu kijana Lusinde ni kwamba:-

1. Mwaka 2005 aligombea ubunge kwa tiketi ya Chadema, Chadema knowing kwamba he was a waste wakamnyima hela za uchaguzi, akajitoa kabla ya uchaguzi kufanyika citing kwamba hana hela maana chama hakikumpa na akalalama sana kwamba hela zinatumika kukodi helikopta lakini wao hawana hela za kampeni,

2. Alipojitoa kugombea kwa Chadema, akaenda kwa Malecela kuomba msaada kwa sababu ya njaa, akajitoa Chadema na kuingia CCM, Malecela akampa ukatibu wa CCM Kongwa, mpaka kufikia alipo sasa huko amekuwa akivutwa vutwa ili angalau apate kula, sasa eti leo huyu ni a strong candidate wa kushindana na Malecela tena mpaka ku-make all the news za jana ndio ninasema Tanzania tumelogwa something is not right na either our thinking au uelewa wa siasa za bongo, ndio maana nilisema hivi karibuni kwamba CCM itatawala kwa muda mrefu sana ujao!

Respect.


FMEs!
 

- Mkuu vipi huna history mbona huyu kijana aliwahi kuwa huko upande wa pili akabwaga manyanga, mzee sasa anaendelea na ziara yake huko majuu wakati ukifika atarudi na kama kawa ataingia kazini, Mtera uzuri ni kwamba wananchi wameamka sana.

Respect.


FMEs!
 
Duh hawa viongozi yaani wanagawa vyeo kwa walevi? Inamaana hakuna criteria ya mtu kupewa cheo. Sasa CCM na waliomo wanataka tuwaamini kwa lipi? Maana wanavutavuta watu ili wapate chakula na si uwezo wao!!! Oh ukisoma hizi post, unaweza kukuta hata wanaotetewa ni UOZO.
 

- Hakuna jipya kama kuoza tumeoza taifa zima hili wala sio siri, labda useme lingine na hili la kuoza wala sio tusi maana wote taifa hili tumeoza tusingekua Lowassa na kina Rostam kama sio Chenge wangekwua jela sio bungeni, careful na maneno tunayotumia maana mengi tunajitukana wenyewe yaani sisi wananchi, kama mtu amefikia level ya kutaka kugombea ubunge basi anaweza anything ingawa haiondoi the fact kwamba ni mlevi viongozi wengi wa juu ni walevi tena sana na wa vyama vyote vya siasa nchini.

Es!
 

..............wee ukisema ubwabwa/mkyele hakubadilishi ukweli wa aliyoyasema JSM kama nilivyoandika kwenye previous post yangu...........
............hivi ulifundishwa kuwa kijana mdogo hawezi kumuheshimu JSM.........waliokufundisha watakuwa wana matatizo ya uelewa........and i mean it HESHIMA MBELE!.........
 

duh, kwa hiyo majimbo ndivyo wanavyoachiana sio? kwa huyu anataka ubunge asaidie wananchi ili naye ale?! ama kweli kula kwa zamu!
 
Mimi Natoka Mtera na jana nimetoa comments kuhusiana na Lusinde na Malecela cha ajabu nimejaribu kuangalia page zote sijaziona hizo comments.

Any way wengine mngeziona mngejua picha halisi ya kitu ambacho nasisitiza. Narudia kwa namna nyingine. Hapa kwa upande wangu 'age is aint nothing' tunachotaka ni maendeleo (Performance). Usitake kupata ujiko au sifa on the expenses of the other, wewe jinadi wewe kama wewe, waambie wanachi utawafanyia nini.

Lusinde hana uwezo, maana anataka kutumia mazungumzo ambayo yalikuwa private kati ya yeye na Malecela anayaweka hadharani kama daraja. Wananchi ndo walitakiwa kumwambia Lusinde subiri mpaka kipindi kingine na sio Malecela, sasa yeye alizungumza na malecela kama Malecela nani? Hivyo, anaonekana kuna kitu anafuata na sio kusaidia wananchi.

Ndugu zangu wote mlio humu nawaambia simpigii debe mzee Malecela ila Malecela ameleta maendeleo makubwa saaana mtera, mimi natoka huko ni makubwa makubwa saaana. Najua anatakiwa kupumzika lakini kazi yake haihitaji mtu kama Lusinde kuendeleza, maana anapenda mambo ya kuongelea pembeni huyu. Wapo wanaotaka ubunge Mtera na wanajinadi kwa vitu ambavyo wamevifanya kule kabla hata hawajawa wabunge na hawamkashifu mtu ili wakubalike na kwa taarifa yenu jamani watu wale wanakubalika kuna mmoja katajwa huko juu. Lakini hawasemi Malecela nini wala nini wanamwaga sera tu.

asante.
 
Kijana katangaza tu ila mnapiga makelele bila sababu..kwani kamng'oa?Mie Najua Malecela ni Tinga tinga tu na mnafahamu kazi ya Tingatinga
 

- Yale yale tu hakuna jipya na ni waste of our time, nini masilahi ya Mtera hapo juu zaidi tu ya chuki na fitina, Malecela alisema hakusema alisema, sasa hebu tubadili topic za waliosema mazuri tu maisha yao ya uongozi wa taifa, sasa kwa nini taifa limekwama?

- Si kuna waliosema hawawezi kuruhusu hili taifa kwenda mikononi mwa mbwa eti tofauti yake ni nini hasa? Bwa! ha! ha! ha


ES!
 
Ya Malecela unayakuza mwenyewe kwa kupingana hata na ukweli ulio wazi. Taabu ya kuuvaa umalecela kwa 100%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…