Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,967
- 11,212
Huyo Bro awe msomi au asiwe msomi, atu convice asitu convice, hapa JF. One thing for certain he is a do-er. Na si watu kama sisi kukaa kwenye keyboards na kujadili tu ni vyema kuwa positive lakini sasa kama kila mtu atabaki kulalama without any action then tupo kwenye social network site, rather than a political forum.
Well done bro shinda au ushindwe hila umeonesha msimamo wa kero yako au hata maslahi yako, na anae ona Hafai aka m-challenge kupitia demokrasia na si maneno wakati tunaogopa kwenda kutoa challenge zetu sisi wengine.
Stop the negative vibe or else ndio itakua kama cha ukorofi anavyosema kuna jipya?