Kijana anayeogopwa asiyefikia hata miaka 30

Rejea kauli ya nyerere tunahitaji taifa la watu wanaoweza kuhoji na kutetea wengine na kutokuwa waoga. Kijana huyu anapigania wengine. Mtoa hoja anayosababu ya kusema hicho alichokisema ni vyema tukanunua kitabu hicho tuone anachokisema kama kipo cha ku-critise tufanye hivyo. Hii sio kiki ya kibiashara aka la ndio wale ambao maandishi kwenu ni mama mkwe
UWONGO! Edward Bayona na wenzake wengi walio kuwa kama huyu kijana, walisoteshwa lupango kiasi ambacho walipotoka wakawa machizi! HUU NI UPUUZI kuingilia siasa wakati uko chuo!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
UWONGO! Edward Bayona na wenzake wengi walio kuwa kama huyu kijana, walisoteshwa lupango kiasi ambacho walipotoka wakawa machizi! HUU NI UPUUZI kuingilia siasa wakati uko chuo!
Wangapi ambao walikuwa machizi mi MDOGO wangu mwenyewe alikiwa mmoja wao mbona hajawa chizi
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Edward Bayona namjua sana huyu mzee....namuonaga pande za Bukoba....ni mlevi sana!

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
Na alikuwa na maakili kweli kweli! Akafukuzwa chuo, akawekwa lupango kwa muda.. kutoka huko, TIME IMESHAMPITA!
Haki ya Mola, hakuna kitu kitamu hapa duniani kama peace of mind!
Maana miaka inapita, ujana unaondoka! Ehh Maulana Mola wangu niepushie shari zote! Mimi na kizazi changu na nchi yangu Tanzania!
 
Kwahyo jamaa hakumaliza chuo?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kitabu kinapatikana vipi?...pia kuna watu wengi nawajua wanakihitaji.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Na Erick Mwakikato "MFIA CHAMA"

3/06/2017
Jumamosi ya Saa Tatu Ahsubui maeneo ya Ubungo Plaza 'Blue Pearl Hotel' Diffenda Nne za Polisi, Gari Noah moja ya watu wa Usalama. Zikiwa na Askari zaidi ya 40 wakiwa ndani ya Uniform wakiwa na Siraha za Moto na kukiwa na Askari Kazu Zaidi ya 10 wakiwa kwenye mlango wa kuingilia hotelini hapo kwa Ulinzi mkali,

na wengine wakitanda ndani ya Ukumbi ambao Uliokuwa ufanyike Uzinduzi wa KITABU CHA SAUTI YA WATETEZI WA HAKI VYUONI kilichoandikwa na Alphonce Lusako "Alias Emekha Ike "

Polisi hawa wote pamoja na silaha za Moto kwa wingi wao, walikuja kumzuia kijana mmoja mdogo ambaye hata kilo za Bondia Francis Cheka ajazifikia na umri wake hata ajafika miaka 30 .

Kunani kwenye Uandishi wa Hiki Kitabu cha Huyu Kijana.. Mpaka Serikali kutumia Nguvu Kubwa kiasi hiki??

Je huyu Kijana ndani ya hiki Kitabu ameandika Contents gani mpaka kutumwa Askari wengi kiasi hiki kuzuia Hiki Kitabu kisizinduliwe??.

Alphonce Lusako "Alias Emekha Ike?
Ni Nani kwenye Taifa hili??

Je Maneno yaliyomo Kwenye Cover Page ndio Maudhui ya Ndani ya hiko Kitabu??

Kitafute Hiki Kitabu Upate Majibu Zaidi ya MASWALI hayo ..!!!
MUHIMU KUPATA NAKALA YAKO! Matangazo ya biashara
 
Back
Top Bottom