Kijana anayeogopwa asiyefikia hata miaka 30

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
586
1,000
Na Erick Mwakikato "MFIA CHAMA"

3/06/2017
Jumamosi ya Saa Tatu Ahsubui maeneo ya Ubungo Plaza 'Blue Pearl Hotel' Diffenda Nne za Polisi, Gari Noah moja ya watu wa Usalama. Zikiwa na Askari zaidi ya 40 wakiwa ndani ya Uniform wakiwa na Siraha za Moto na kukiwa na Askari Kazu Zaidi ya 10 wakiwa kwenye mlango wa kuingilia hotelini hapo kwa Ulinzi mkali,

na wengine wakitanda ndani ya Ukumbi ambao Uliokuwa ufanyike Uzinduzi wa KITABU CHA SAUTI YA WATETEZI WA HAKI VYUONI kilichoandikwa na Alphonce Lusako "Alias Emekha Ike "

Polisi hawa wote pamoja na silaha za Moto kwa wingi wao, walikuja kumzuia kijana mmoja mdogo ambaye hata kilo za Bondia Francis Cheka ajazifikia na umri wake hata ajafika miaka 30 .

Kunani kwenye Uandishi wa Hiki Kitabu cha Huyu Kijana.. Mpaka Serikali kutumia Nguvu Kubwa kiasi hiki??

Je huyu Kijana ndani ya hiki Kitabu ameandika Contents gani mpaka kutumwa Askari wengi kiasi hiki kuzuia Hiki Kitabu kisizinduliwe??.

Alphonce Lusako "Alias Emekha Ike?
Ni Nani kwenye Taifa hili??

Je Maneno yaliyomo Kwenye Cover Page ndio Maudhui ya Ndani ya hiko Kitabu??

Kitafute Hiki Kitabu Upate Majibu Zaidi ya MASWALI hayo ..!!!
MUHIMU KUPATA NAKALA YAKO!!!!


Kitabu kipo hapa > KITABU: Hali ya Watetezi wa Haki za Binadamu Vyuoni 1965-2017
 

kindikwili

JF-Expert Member
Oct 5, 2016
1,835
2,000
Hawa ndiyo vijana mwal Nyerere anawataja kama vijana taifa linawahitaji. Kuhoji na kuichokonoa serikali ili itimize majukumu yake ni kazi inayotakiwa ifanywe na vijana kuliko wazee maana hatima ya nchi iko kwa vijana. Sisemi watu watukane viongozi hapana ila kuelezea yale wanayoyataka ni jambo kibwa sana
 

CHOKAMBOVU

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
716
500
Hahahhaaaaaa,ubunifu mzuri!Kwahiyo tukanunue kitabu,au sio!
Rejea kauli ya nyerere tunahitaji taifa la watu wanaoweza kuhoji na kutetea wengine na kutokuwa waoga. Kijana huyu anapigania wengine. Mtoa hoja anayosababu ya kusema hicho alichokisema ni vyema tukanunua kitabu hicho tuone anachokisema kama kipo cha ku-critise tufanye hivyo. Hii sio kiki ya kibiashara aka la ndio wale ambao maandishi kwenu ni mama mkwe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom