Kijana anayeogopwa asiyefikia hata miaka 30

Siyo kweli, picha za polisi wakiwa eneo hilo kumzuia asizinduwe kitabu ziko wapi??

Tafuta kiki nyingine
 
Kusoma Political Science haimaniishi lazima uwe mwanasiasa au mwalimu. Na sina mpango wa kudhihaki hao wanaohangaika kutafuta ajira kwani nilihangaika zamani na nafahamu machungu yao. Naamini ipo siku nao watafanikiwa.

Cha msingi tuache siasa za mkumbo na kutaka sifa mavyuoni kwani mwisho wa siku unapeleka simanzi kwa wazazi waliokusomesha kwa gharama kubwa wakati si Mbowe au Magufuli ataangaika kukumbuka.
Kumbe unasoma ili iwe nini?

Kote duniani, lazima wawepo wanaotangulia mbele ya wengine. Kama tunakosa pioneers, nani atatuvusha? Kwa hiyo nikasomee veterinary lakini nikae mbali na mifugo...hiyo ni akili?

Haya tunayasema kwa kuwa yupo kinyume na tabaka tawala, lakini tunajua kuwa wao wana matawi vyuoni na wanahutubiana kila uchao. Shida ni akiwepo mwenye mawazo tofauti na yao.

Mimi nampongeza. Ukombozi hauji matako yakiwa kwenye mkeka. Lazima ainuke mtu ashike mkuki.
 
Huyu mshikaji alifukuzwa pale UDSM tukiwa mwaka wa mwisho.
Ni kijana mpambanaji , amepitia magumu sana pale Mlimani.
Upambanaji ilikuwa sifa kipindi cha kudai uhuru...sasahivi ni ujinga mtupu na ni indicator ya umasikini.
 
Upambanaji ilikuwa sifa kipindi cha kudai uhuru...sasahivi ni ujinga mtupu na ni indicator ya umasikini.
Yaani kudai haki ni indicator ya umasikini?

Kwa hiyo matajiri huwa hawaendi mahakamani kudai haki?

Hebu weka vizuri hoja yako, kwa nini tumekuwa na mawazo ya ukandamizaji kwa weusi wenzetu kuliko hata wakoloni?

Hivi unajua yaliyomkuta huyu kijana yanaweza kumkuta hata mwanao siku moja!!&& .
 
Mwanangu akiwa "mpambanaji" basi wamfukuze. Mbona mimi sijafukuzwa????

Mnadanganywa na wanasiasa "pendapenda totoz" mnajiingiza kwenye mapambano na Serikali na kutaka kuvifanya vyuo viwe sehemu za migomo muachwe hivihivi...
 
Coward of a county
nafikiri kenny rogers ama don williams waliimba hivo
Mimi na wewe hatutofautiani mkuu.
Wote tunatumia avatar na majina bandia humu JF. Kama wewe ni bingwa weka picha yako halisi na jina halisi kama Yericko Nyerere alafu endelea kukomenti unayokomenti
 
Hivi huyo jamaa zaidi ya kufukuzwa chuo kuna nini kingine amefanya hadi aogopwe hivyo?

Hawa ndiyo vijana mwal Nyerere anawataja kama vijana taifa linawahitaji. Kuhoji na kuichokonoa serikali ili itimize majukumu yake ni kazi inayotakiwa ifanywe na vijana kuliko wazee maana hatima ya nchi iko kwa vijana. Sisemi watu watukane viongozi hapana ila kuelezea yale wanayoyataka ni jambo kibwa sana
 
Mwanangu akiwa "mpambanaji" basi wamfukuze. Mbona mimi sijafukuzwa????

Mnadanganywa na wanasiasa "pendapenda totoz" mnajiingiza kwenye mapambano na Serikali na kutaka kuvifanya vyuo viwe sehemu za migomo muachwe hivihivi...
Hujafukuzwa kwa sababu wewe ni muoga na mnafiki.
 
Nimeona vijana wengi kama hawa wakipewa visenti na wazungu wanaotetea demokrasia, matokeo yake anachanganyikiwa maisha yake yote! Huyu kijana kwishney!
CHAGUA KUISHI! THERE IS NO TIME LIKE THE PRESENT! BE WISE!
Libya ilianza hivi hivi na vijana wa chuoni ambao serikali ilikuwa inawasomesha bure, sasa hao vijana wa Libya walio danganywa na mzungu wamegeuzwa watumwa na mashoga! CHEZEA MZUNGU! WAAFRIKA MSIPO PIGANA MZUNGU ATAKULA WAPI?
Tanzania nani anasomeshwa bure mkuu
 
Back
Top Bottom