Kijana anatafuta kazi yoyote

Kijana anatafuta kazi yoyote

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,005
Habari zenu wadau wa JF?

Kuna kijana amefika ofisini kwangu na anatafuta kazi yeyote.

SIFA ZAKE:
Jinsi yake ni Mwanaume,umri miaka 22,elimu kidato cha nne,Uzoefu katika kazi za hoteli kama waiter,housekeeping na gardener.Pia amesha wahi kufanya kazi za kutembeza vitu vya promotion katika mitaa mbalimbali ya Arusha.

Kazi anayotafuta ni yeyote yenye kipato halali kama utunzani wa bustani,kuuza duka,kuwa konda wa daladala,kuuza chakula na vinywaji kwenye migahawa,house boy nk.

Mawasiliano yake ni 0654 033613

Au nipigie mimi 0752489529

Nimeguswa sana na hali ngumu ya kijana huyu,ndio maana ninaomba mtu yeyote mwenye nafasi ya kazi amsaidie.

Asanteni sana.
 
Anza wewe si upo ofisini msaidie mkuu,kuna jamaa anatafuta Manager wa Bar angalia vizuri humu utaona tangazo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
ya bustani atataka kulipwa ngapi kwa mwezi na je ana sehemu ya kuishi?ni Dar
 
We we mandwa vipi? Hujaona msaada wake? We we pia ungetoa tuu huo msaada ulio toa hiyo kubeza ni lugha ya kijinga saana sasa kama ofisin kwake IPO si angempa? Jamani hapa Jf Mimi naamini wengi ni wakubwa na mnaelim za vyuo sasa hizi jeuri na kubezana ndio mlijifunza huko vyuoni? Mnaboa kweli yaani mpaka mnanikatishaga tamaa Mimi ambaye sikusoma. Ameen
 
ASante mkuu kwa kueleza ukweli,ila jua kusoma sio kuelimika.


We we mandwa vipi? Hujaona msaada wake? We we pia ungetoa tuu huo msaada ulio toa hiyo kubeza ni lugha ya kijinga saana sasa kama ofisin kwake IPO si angempa? Jamani hapa Jf Mimi naamini wengi ni wakubwa na mnaelim za vyuo sasa hizi jeuri na kubezana ndio mlijifunza huko vyuoni? Mnaboa kweli yaani mpaka mnanikatishaga tamaa Mimi ambaye sikusoma. Ameen
 
Kijana amezaliwa na kusoma Tanga mjini ila alikuja Arusha miaka miwili iliyopita,lakini sasa mambo ya kazi yamekuwa magumu kwake ndio maana anatafuta kazi.


Unashangaa nini?katoka Atown kijana kwani vp

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mimi sina nafasi ya kazi hapa ofisini kwangu,ndio maana nimekuja kwenu wadau kwa mwenye nafasi ya kazi amsaidie kijana huyu.


Anza wewe si upo ofisini msaidie mkuu,kuna jamaa anatafuta Manager wa Bar angalia vizuri humu utaona tangazo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cheki tangazo humu2 jf kuna jamaa anatafuta manager wa bar atamfaa huyo kijana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom