Kijana anatafuta kazi

Ferruccio Lamborghini

JF-Expert Member
Apr 15, 2020
1,664
2,517
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Poleni na majukumu, niende moja kwa moja kwenye nada bila kuwachosha na mambo wengi.

Kuna kijana nipo nae hapa mtaani, anatafuta kazi yeyote ili ya kufanya. Yeye alikuwa anauza chips, no mchapakazi Sana na anajituma mno. Ni mcheshi Sana kwa wateja, na pia Ni muaminifu mno.

Sababu ya kumuombea kazi ni kuwa boss wake amehama mji tangu katikati ya mwezi huu, hivyo ameondoka na ofisi yote pamoja na vifaa vya kazi.

Wana JamiiForums wenzangu, naomba kwa yeyote yule anayetafuta mfanyakazi tafadhali usisite kunitaarifu.

Kijana anapatika Dar es Salaam, Temeke. Kazi ni yeyote ile hata ya kuuza chips anaweza tena kwa uzoefu mkubwa.

Asanteni.

Kama Kuna sehemu nimekosea au nimeandika vibaya, naomba mnisamehe.
 
Aje Morogoro Ifakara vibarua wa mashambani wanahitaji sana kama akijituma anatoboa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom