Kijana anatafuta kazi yeyote

Kijana anatafuta kazi yeyote

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,005
Habari zenu wadau wa JF?

Kuna kijana amefika ofisini kwangu na anatafuta kazi yeyote.

SIFA ZAKE:
Jinsi yake ni Mwanaume,umri miaka 22,elimu kidato cha nne,Uzoefu katika kazi za hoteli kama waiter,housekeeping na gardener.Pia amesha wahi kufanya kazi za kutembeza vitu vya promotion katika mitaa mbalimbali ya Arusha.

Kazi anayotafuta ni yeyote yenye kipato halali kama utunzani wa bustani,kuuza duka,kuwa konda wa daladala,kuuza chakula na vinywaji kwenye migahawa,house boy nk.

Mawasiliano yake ni 0654 033613

Au nipigie mimi 0752489529

Nimeguswa sana na hali ngumu ya kijana huyu,ndio maana ninaomba mtu yeyote mwenye nafasi ya kazi amsaidie.

Asanteni sana.
 
Kuna jamaa anatafuta Manager wa Bar humu JF

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kuna jamaa anatafuta Manager wa Bar humu JF

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Namba zake 0715773642

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom