Kweli kuna waandishi na wahandisi wa habari. Kwanza mbuzi habakwi na binadamu bali hunajisiwa. Kweli mbuzi kaathirika kisaikolojia? Kwa hiyo anao utambuzi kwamba alibakwa? Ovyo kabisa Wapo!
katika hali isiyoya kawaida, kijana Rashid manyanda, miaka 21 mkazi wa kata ya kalangalala wilaya ya Geita, jana jioni majira ya saa 1 alikutwa akimbaka mbuzi. kwa mujibu wa taarifa kijana Rashid alikamatwa kutokana na mtego aliowekewa na mwenye mbuzi bwana Geofrey, kwa mujibu wa mashuhuda bwana Rashid alimfuata mbuzi alikofungwa na kuvua nguo zote kisha akaanza kumuingilia mguzi huyo na hapo ndipo bwana GEOFREY ambaye ndio mwenye mbuzi alifika akiwa na watu wengine na kumkamata Rashid. Hata hivyo jitihada za kumfikisha Rashid polisi ziligongwa mwamba kutokana na mama mzazi wa Rashid kuomuombea msamaha mwanae na kumsihi mwenyembuzi amlipe yaishe.
Hata hivyo sakata hilo liligonga hodi serikali za mtaa ambapo mwenye mbuzi aliomba anunuliwe mbuzi mwingine kwani hawezi kukaa na mbuzi alieathiwa kisaikolojia
source:uwapo radio
ukitafuta makakosa ya kimatamshi na kimaana katika uhandishi, wengi wao hawako sahihi hasa kwa kua lugha ya kiswahili inasomewa kwa mazoea, inapokuja suala la kutumika kifasaha watumiaji wengi wa kiswahili nini 0
Wewe una makosa ya kiuandishi,hujui kuweka mkato sehemu inayohitajika wala kituo.
Inahitaji juhudi za ziada kuweza kuelewa namna ulivyoandika.Anyway,habari tumeipata na tunatoa pole kwa huyo mbuzi aliyeathirika kisaikolojia.
"Nlikuwepo":bolt:
Nashukuru umeukubali udhaifu wako,fanyia kazi.nimekubali mkuu, udhaifu huo ninao sana
Mkuu ungetuwekea picha ingekuwa poa sana
Daaa,sasa tunawaambukiza mbuzi miwaya.....kizazi hiki ni balaa.