Kijana ajaribu kuvamia Mwenge wa Uhuru

Kijana ajaribu kuvamia Mwenge wa Uhuru

Tatizo kubwa weng wenu ni watumwa wa fikra. Wanawatumia vibaya sana pasipo kuwa wewe haujitambui wala haujielew hata elimu yenyewe hakuna .lazima watakutumia na hautajua ukwel
 
Tatizo sio mwenge ! Tatizo watu mwenge unatatizo lipi? Mjipange sana your mind kila kitu mnawaza negative ? Ilo ndio tatizo lenu ?
 
Tatizo sio mwenge ! Tatizo watu! mwenge unatatizo lipi? Mjipange sana your mind kila kitu mnawaza negative ? Ilo ndio tatizo lenu ?
 
kuwamulika wenye husuda km wewe. Mtakufa na chuki zenu wahuni kbs
Kuwamulika wenye husda kama mimi kutasaidia nini, ikiwa taifa linanuka njaa na umasikini? Me naona ifikie hatua wananchi tuungane kuukataa huu UJINGA (mwenge)
 
We unafikilia kila mwananchi ana akili za kuambiwa .#kila mala unaandamana ! Umeshidwa kumridhisha mkeo napo unaandamana
 
ufisadi ni kula ruzuku ya chadema inayotokana na kodi za wananchi

unajua miradi ya CCM? Au unaropoka tu! Viwanja vya mpira, kampuni. Bado karibu milioni 800 kwa mwezi. Nyau weee
 
Auvamie tu ...mi nasema auvamie tu.kama wanaambiwa mwenge hauna maana zaidi ya matumizi mabaya ya fedha za wananchi,kusambaza ukimwi na propaganda za CCM wanajifanya wao jeuri ..wauvamie tu..

Tumechoka nawauvamie tu. Athari za mwenge ni kina NAPE KUZALIWA KWA WINGI.
 
Upuuzi mtupu..!!
Huwo mwenge ndio nn Na unatusaidia nn Ss wananchi..!!!??
 
Tatizo kubwa weng wenu ni watumwa wa fikra. Wanawatumia vibaya sana pasipo kuwa wewe haujitambui wala haujielew hata elimu yenyewe hakuna .lazima watakutumia na hautajua ukwel

Nipe Faida Moja tu ya Mwenge
 
khaaaa mbona lukuvi na mzee wa bunda wasira wamevaaa nguo za msiba
 
kwani hata angeuvamia ndiyo angeufanyaje ? Wakati umetengenezwa kwa scraps za mabati ya gerezani - kariakoo ! Hii mipolisi mingine inataka sifa tu .
 
Back
Top Bottom